Kuchelewa kweli ni changamoto, week iliopita na vile vikao na plus mama nae ujumbe wake, na imani mambo mazur yapo njiani.Changamoto Yao Kubwa ni kuchelewa kutoa Placements,hata wao wenyewe washajua Hilo ni tatizo.Kama Leo hii mtu alifanya Oral 28 November ila mpaka Sasa placement hamna na ni mwezi Wa tatu huu,si tatizo Hilo.Hapo Hapo mtu ameomba Scholarship,na mambo mengine mengi anakuwa anasubiri hatma yake ila ndio hivyo inachelewa...
Sekretarieti ya Ajira
🙋 Akikujibu, ninaswali moja kwake.Una muda gani mtaani tangu umemaliza chuo?.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 daaaah.🙋 Akikujibu, ninaswali moja kwake.
Hapo kuchelewa hapo, sioni hiyo changamoto kama itatatuliwa leo au kesho, hasa kwa zile taasisi zinazotegemea fungu toka hazina. Wapo wote ndani humo, ukweli wote wanao.Kuchelewa kweli ni changamoto, week iliopita na vile vikao na plus mama nae ujumbe wake, na imani mambo mazur yapo njiani.
Ulifanya lin oral?Wakuu ebu naomba kueleweshwa hapa. Kwenye Application ya Ajira naambiwa NOT SELECTED ila kwenye WEB naambiwa SELECTED wakati Oral nimeshaifanya. Hapo imekaaje wadau mbona wanaivuruga nashindwa kuelewaView attachment 2525650View attachment 2525651
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
So tunatakiwa tukubaliane na hali ya nchi yetu kuwa sis ni miongoni mwa nchi zinazoendelea. Hatuwezi jitutumua kwa kiasi tusichoweza. Kama takuwa sawa mm sio mtu wa uchumi.Hapo kuchelewa hapo, sioni hiyo changamoto kama itatatuliwa leo au kesho, hasa kwa zile taasisi zinazotegemea fungu toka hazina. Wapo wote ndani humo, ukweli wote wanao.
Hapo mzee shughuli imeisha, natumaini ukijia-asses vizuri kwa utulivu umeshajua wapi au swali au maswali gani ulizingu. Pole sana.Wakuu ebu naomba kueleweshwa hapa. Kwenye Application ya Ajira naambiwa NOT SELECTED ila kwenye WEB naambiwa SELECTED wakati Oral nimeshaifanya. Hapo imekaaje wadau mbona wanaivuruga nashindwa kuelewaView attachment 2525650View attachment 2525651
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Itakuwa imeyumba tu,Log Out halafu log in Tena.....Wakuu ebu naomba kueleweshwa hapa. Kwenye Application ya Ajira naambiwa NOT SELECTED ila kwenye WEB naambiwa SELECTED wakati Oral nimeshaifanya. Hapo imekaaje wadau mbona wanaivuruga nashindwa kuelewaView attachment 2525650View attachment 2525651
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Huo ndio ukweli, hata hizi ajira zinazotengenezwa na serikali ni chache mnoo. Ni wazi mfuko uko katika hali tete.So tunatakiwa tukubaliane na hali ya nchi yetu kuwa sis ni miongoni mwa nchi zinazoendelea. Hatuwezi jitutumua kwa kiasi tusichoweza. Kama takuwa sawa mm sio mtu wa uchumi.
Kwann umwambie hvo wakat pdf haijatoka,asubr pdf ndo uhakikaHapo mzee shughuli imeisha, natumaini ukijia-asses vizuri kwa utulivu umeshajua wapi au swali au maswali gani ulizingu. Pole sana.
Ingia katika sala zishuke pdf nyingine za ajira kuanza upya kutafuta received.
Mmmhhh Mzee mbona unamkatisha Tamaa jamaa Kwa kitu ambacho sio sahihi....Hiyo haiwezi kuwa hivyo itakuwa imeyumba tu....Hapo mzee shughuli imeisha, natumaini ukijia-asses vizuri kwa utulivu umeshajua wapi au swali au maswali gani ulizingu. Pole sana.
Ingia katika sala zishuke pdf nyingine za ajira kuanza upya kutafuta received.
ndo inaonesha hivi leo au hii screenshot ya mda.Wakuu ebu naomba kueleweshwa hapa. Kwenye Application ya Ajira naambiwa NOT SELECTED ila kwenye WEB naambiwa SELECTED wakati Oral nimeshaifanya. Hapo imekaaje wadau mbona wanaivuruga nashindwa kuelewaView attachment 2525650View attachment 2525651
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Je post hiyo ilikuwa na written to Oral au ilikuwa Oral Moja kwa moja???Wakuu ebu naomba kueleweshwa hapa. Kwenye Application ya Ajira naambiwa NOT SELECTED ila kwenye WEB naambiwa SELECTED wakati Oral nimeshaifanya. Hapo imekaaje wadau mbona wanaivuruga nashindwa kuelewaView attachment 2525650View attachment 2525651
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Ndomana watu hawakubali kuweka screenshots zao sababu hzi hizMmmhhh Mzee mbona unamkatisha Tamaa jamaa Kwa kitu ambacho sio sahihi....Hiyo haiwezi kuwa hivyo itakuwa imeyumba tu....
Mimi sikua muumini wa kufatilia status, baada ya kutoka majina ya walioitwa kazini kwa mamlaka ya watiza ushuru, ikabidi nidownload app, kuchek nilikua na hiyo Not selected for ... Lakini nilijua wapi nilizingua.Kwann umwambie hvo wakat pdf haijatoka,asubr pdf ndo uhakika
Nimeeleza kile nilicho expirience, mnataka mtu akiomba msaada humu tuanze kuvunga na kumpata mafuta kwa mgongo wa chupa?Mmmhhh Mzee mbona unamkatisha Tamaa jamaa Kwa kitu ambacho sio sahihi....Hiyo haiwezi kuwa hivyo itakuwa imeyumba tu....
Hapo ni sawa kwa kua pdf yako ilitoka kabisa,lakini so long as pdf yake haijatoka bado hawez jua kafaulu or not regardless of status inasemaje.Mimi sikua muumini wa kufatilia status, baada ya kutoka majina ya walioitwa kazini kwa mamlaka ya watiza ushuru, ikabidi nidownload app, kuchek nilikua na hiyo Not selected for ... Lakini nilijua wapi nilizingua.
Ooohh kumbe,Ina maana haupo hata kwenye data base? Na je hicho ulichokiona ni baada ya Oral au baada ya placement????Mimi sikua muumini wa kufatilia status, baada ya kutoka majina ya walioitwa kazini kwa mamlaka ya watiza ushuru, ikabidi nidownload app, kuchek nilikua na hiyo Not selected for ... Lakini nilijua wapi nilizingua.
Ni vile tu hajasema na hatosema alivokabiliana na panel, hiyo ngoma imeshaisha naamini akiwa muungwana atajua ni wapi hakukava vema wakati anajiandaa na hakujib vema katika panelHapo ni sawa kwa kua pdf ilitoka,lakini so long as pdf yake haijatoka bado hawez jua kafaulu or not regardless of status inasemaje.