Huyu yeye kanotice not selected pdf lishatoka,so hapo si ni sahh kabisa.Ooohh kumbe,Ina maana haupo hata kwenye data base? Na je hicho ulichokiona ni baada ya Oral au baada ya placement????
Hamna mwanangu,sema nawe kama unakuwaga mtata mtata kidogo.Ndio maaana tunaenda Taratibu kidogo kwenye kupata ukweli wa vitu......Nimeeleza kile nilicho expirience, mnataka mtu akiomba msaada humu tuanze kuvunga na kumpata mafuta kwa mgongo wa chupa?
Ntakuaje na maswali mawili kati ya matano nilizingua kabisa, lazima niwe mkwel.Ooohh kumbe,Ina maana haupo hata kwenye data base? Na je hicho ulichokiona ni baada ya Oral au baada ya placement????
Yes hata Mimi ndio nilitaka kujua hiki kutokana na alichosemaHuyu yeye kanotice not selected pdf lishatoka,so hapo si ni sahh kabisa.
But pdf haijatoka useme not selected ni kufeli si sahihi mpaka pdf litoke ndo uhakika
Kuna watu humu walikua na not selected na pdf ikaja wamo ,msijisahaulishe.Ni vile tu hajasema na hatosema alivokabiliana na panel, hiyo ngoma imeshaisha naamini akiwa muungwana atajua ni wapi hakukava vema wakati anajiandaa na hakujib vema katika panel
Ooohh Hapo Sawa kaka,pole sana Lakini.Ntakuaje na maswali mawili kati ya matano nilizingua kabisa, lazima niwe mkwel.
Unaweza ukasema hivo, naamini hata ningechek kabla ya pdf ningekuta iko vile, nafikiri mnakumbuka mabishano yaliyokua yanaendelea kipindi kile kabla ya pdf kutokaHuyu yeye kanotice not selected pdf lishatoka,so hapo si ni sahh kabisa.
But pdf haijatoka useme not selected ni kufeli si sahihi mpaka pdf litoke ndo uhakika
Lakin kwa sasa si tumekubaliana kila mtu ni selected for oral,namna gani pale mtu wa IT[emoji848]Anatuvuruga vurugaOoohh Hapo Sawa kaka,pole sana Lakini.
Yeye ameomba afafanuliwe, ninefafanua kwa expirience yangu, na nyinyi toeni expirience zenu mumfafanulieKwann umwambie hvo wakat pdf haijatoka,asubr pdf ndo uhakika
Bt recently system or the IT guy amekua akitemper sana na hzi status kama mnakumbuka ndomana tukaja conclude kua KWA SASA hazina maana,but before yes they meant something.Unaweza ukasema hivo, naamini hata ningechek kabla ya pdf ningekuta iko vile, nafikiri mnakumbuka mabishano yaliyokua yanaendelea kipindi kile kabla ya pdf kutoka
Kusubiri PDF tuLakin kwa sasa si tumekubaliana kila mtu ni selected for oral,namna gani pale mtu wa IT[emoji848]Anatuvuruga vuruga
HakikaKusubiri PDF tu
SawaYe
Yeye ameomba afafanuliwe, ninefafanua kwa expirience yangu, na nyinyi toeni expirience zenu mumfafanulie
wakat mwingine ni bora ku face ukweli ata kama unauma, mi nazani aelezwe ukweli kuwa pdf ndo msema kweli, lakini pia amuombe mungu amsaidie atoke kwa mkeka ila ukweli ubaki palepale kuwa hakuna aliewahi kupata kazi akawa na ""NOT"" kwenye app. Wengi washashuhudia humu ila ajue ukweli mtu wa design hio hakuwai tokea, ili aongeze nguvu kwenye mambo mengine na kupunguza expectation kwenye io post japo asubir pdf ku confirm.Hapo ni sawa kwa kua pdf ilitoka,lakini so long as pdf yake haijatoka bado hawez jua kafaulu or not regardless of status inasemaje.
Huo ndio ukweli, humu wengi hupenda kusikia maneno yanayowapa faraja katika situation zao, hawataki kabisa kusikia ukweli katika uhalisia.wakat mwingine ni bora ku face ukweli ata kama unauma, mi nazani aelezwe ukweli kuwa pdf ndo msema kweli, lakini pia amuombe mungu amsaidie atoke kwa mkeka ila ukweli ubaki palepale kuwa hakuna aliewahi kupata kazi akawa na ""NOT"" kwenye app. Wengi washashuhudia humu ila ajue ukweli mtu wa design hio hakuwai tokea, ili aongeze nguvu kwenye mambo mengine na kupunguza expectation kwenye io post japo asubir pdf ku confirm.
Recently mmesema hua znabadlka badlka sana sa what if baadae ikambadlikia na kua selected,itamaanisha kapita?wakat mwingine ni bora ku face ukweli ata kama unauma, mi nazani aelezwe ukweli kuwa pdf ndo msema kweli, lakini pia amuombe mungu amsaidie atoke kwa mkeka ila ukweli ubaki palepale kuwa hakuna aliewahi kupata kazi akawa na ""NOT"" kwenye app. Wengi washashuhudia humu ila ajue ukweli mtu wa design hio hakuwai tokea, ili aongeze nguvu kwenye mambo mengine na kupunguza expectation kwenye io post japo asubir pdf ku confirm.
Lazima tukubali kuwa, ukiwa na selected for ... Baada ya oral, umefaulu kwa maana umefikia minimum requirement katika usail husika, hapa unaweza ukapata kazi au ukakosa itategemea uko nafasi ya ngapi kulingana na alama ambazo hatuzijui.Kusubiri PDF tu
waliopata kazi hakuna hata mmoja ataekwambia ilibadilika in negative way.Recently mmesema hua znabadlka badlka sana sa what if baadae ikambadlikia na kua selected,itamaanisha kapita?
Hiyo kubadlka badlka ni moja ya sababu watu tunashndwa kuziamin status