Bila shaka walifanya oral tarehe 30 January...Mazaga one mnabisha ila hizi mambo zipo ,app ipo ivo me nimeogopa kutuma tu ila nashukuru jamaa kaoneshaJe post hiyo ilikuwa na written to Oral au ilikuwa Oral Moja kwa moja???
Je ulifanyia DODOMA usaili au UDSM?
Kwa hyo NOT zinaendelea kuexist,frm ushuhuda wa huyo jamaa hapo juuIlikua huwez jua umepata kazi ila unajua still bado upo kwa competition, COZ izo ""NOT"" after oral zilikua zina exist for real. But now inaonekana wa prac wasio na prac ata zile status za watu waliokua na NOT zote zime kuwa """ selected for oral"""
Ooooh...28 Nov last year eeeee??Changamoto Yao Kubwa ni kuchelewa kutoa Placements,hata wao wenyewe washajua Hilo ni tatizo.Kama Leo hii mtu alifanya Oral 28 November ila mpaka Sasa placement hamna na ni mwezi Wa tatu huu,si tatizo Hilo.Hapo Hapo mtu ameomba Scholarship,na mambo mengine mengi anakuwa anasubiri hatma yake ila ndio hivyo inachelewa...
Sekretarieti ya Ajira
Tarehe 31/01/2023Ulifanya lin oral?
Jichanganye hutaamini macho yako, kua mpole subir pdf, omba mungu usikutane tu na ndugu"""NOT""".Kwa hyo wenye selected tufanye shangwe au
Mkuu yako ilikua mapema mnooooo,yan ufanye leo kesho tayar ibadlke duh,wameingza data saa ngapBila shaka walifanya oral tarehe 30 January...Mazaga one mnabisha ila hizi mambo zipo ,app ipo ivo me nimeogopa kutuma tu ila nashukuru jamaa kaonesha
[emoji23][emoji23][emoji23] aloooHapo mzee shughuli imeisha, natumaini ukijia-asses vizuri kwa utulivu umeshajua wapi au swali au maswali gani ulizingu. Pole sana.
Ingia katika sala zishuke pdf nyingine za ajira kuanza upya kutafuta received.
Bora ww Jan...utuliaTarehe 31/01/2023
Imagine, post 100, mliofanya oral 300+ hata wote mkiwa na selected fo baada ya oral, ni wazi sio wote watapata kazi ikiwa tu hitaji linaendelea kuwa lile lile la watu 100Jichanganye hutaamini macho yako, kua mpole subir pdf, omba mungu usikutane tu na ndugu"""NOT""".
Yeaa ila nyie mliofanya juzi subirin ata week. Ndo labda usipo muona ndugu ""NOT"" una relaxKwa hyo NOT zinaendelea kuexist,frm ushuhuda wa huyo jamaa hapo juu
Nlikua natumiaga web sasa leo nimeidownload ndio nakutana na hayo mambondo inaonesha hivi leo au hii screenshot ya mda.
Written to OralJe post hiyo ilikuwa na written to Oral au ilikuwa Oral Moja kwa moja???
Je ulifanyia DODOMA usaili au UDSM?
Exactly my point,na ndo maana mimi nasema hata huyo NOT it can change to SELECTED mana pdf bado haijatoka.Jichanganye hutaamini macho yako, kua mpole subir pdf, omba mungu usikutane tu na ndugu"""NOT""".
Not Selected for Oral imebaki kama ilivyo kwenye App ila kwnye Web ni Selected for Oral.Iyo placement zake zilishatoka.Ilikua huwez jua umepata kazi ila unajua still bado upo kwa competition, COZ izo ""NOT"" after oral zilikua zina exist for real. But now inaonekana wa prac wasio na prac ata zile status za watu waliokua na NOT zote zime kuwa """ selected for oral"""
RUWASA Moja hiyo,wewe ipi???Ooooh...28 Nov last year eeeee??
Mkemia?? Au watu wa Mionzi ulikuwa?
Na ichi nishajaribu kusema lakin wap, mtu anapata status postive, zen akikosa kazi anasema status hazina maana, anazani alikua hana competitors baada ya kupata selected.Imagine, post 100, mliofanya oral 300+ hata wote mkiwa na selected fo baada ya oral, ni wazi sio wote watapata kazi ikiwa tu hitaji linaendelea kuwa lile lile la watu 100
Wewe ni OUT au SUA?Ooooh...28 Nov last year eeeee??
Mkemia?? Au watu wa Mionzi ulikuwa?
We muongo muongo🤣🤣🤣.RUWASA Moja hiyo,wewe ipi???