HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Ni vile tu hajasema na hatosema alivokabiliana na panel, hiyo ngoma imeshaisha naamini akiwa muungwana atajua ni wapi hakukava vema wakati anajiandaa na hakujib vema katika panel
Swali ambalo sikujibu ni moja tu, tena lilikua na A na B lakini mengine nlijibu vizuri tu. Na written pia nlifanya vizuri labda kama wametumia kanuni ya Ladie 1st.
 
Na ichi nishajaribu kusema lakin wap, mtu anapata status postive, zen akikosa kazi anasema status hazina maana, anazani alikua hana competitors baada ya kupata selected.
Hazina maana ndiyo,kama zingekua na maana majibu yangekua yanakuja sawa na status inavosema
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]aloooo kweli kabsa mwaka unaweza kata kimasihara
 
Sijawahi kuitwa kazini...ila walioitwa walisema inabaki "SELECTED FOR Oral" kama ilivyokua muda mfupi kabla PDF haijatoka.
Halaf inakuwaje walofanya usaili wa oral mfano Jan na Feb mwanzoni mwa mwaka huu washaitwa kazin halaf wale wa Nov mwaka jana...bado wapo tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Na ushauri wangu binafsi watu wazingatie sana status ya "kwenye WEB" ndio ina uhalisia ...apps mara nyingi ziko unstable na zina faults
 
App ilitakiwa kusomekaje ili kuwa sehemu salama hapo awali.?
 
wewe ulisikiaa wapii mtu awe na not selected halafu atoboee??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…