GenerationY
Senior Member
- Sep 12, 2020
- 174
- 325
Hii inatokana na uhitaji au uharaka wa Mwajiri mf. TRA katika kuendeleza mchakato wa Ajira....Halaf inakuwaje walofanya usaili wa oral mfano Jan na Feb mwanzoni mwa mwaka huu washaitwa kazin halaf wale wa Nov mwaka jana...bado wapo tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndio but hua zinachange ndo point yangu,kwa mfano kuna mmoja hapo juu oral 14 halafu 15 not selected ni too early to judgeunachotakiwa kujua kwa watu waliowai kupata kazi ndugu ""NOT"" hakuwai onekana kwenye account zao hata kwa bahat mbaya waliishia kumsikia tu.
Wataomba uthibitisho wa screenshot.unachotakiwa kujua kwa watu waliowai kupata kazi ndugu ""NOT"" hakuwai onekana kwenye account zao hata kwa bahat mbaya waliishia kumsikia tu.
Huyo ameelezea alicho-expirience katika account yake, kwanini hamtaki kumuamini?Ndio but hua zinachange ndo point yangu,kwa mfano kuna mmoja hapo juu oral 14 halafu 15 not selected ni too early to judge
😂😂😂😂Yap sio lazima ulie unakazaa lakina io feeling lazima uipate, unaweza rudia kuangalia ile pdf mara 7 hiv ni kweli sipo, halafu ukaifuta, uka download tena may b unaweza kuwepo🤣🤣🤣🤣🤣.
Sometimes ni mapuuza tu sa sjui wanafaidika nn kuchelewesha au ndo mpaka waingizane mtoto wa ankali shangaziHii inatokana na uhitaji au uharaka wa Mwajiri mf. TRA katika kuendeleza mchakato wa Ajira....
Usaili ukishafanyika PSRS hukabidhi majina pendekezwa kutokana na usaili ulivyofanyika the Mwajiri akishakamilisha mchakato atayarudisha Majina kwa PSRS ili wayatangaze
Yeah nakumbukaWataomba uthibitisho wa screenshot.
Lilijadiliwa hili kabla pdf ya tra haijatoka, zikaanza kutumwa screenshot humu, na zilionekana.
Subir pdf ingawa hapo omba mungu hashindwi kitu. Nasema hiv ili usikae miezi miwil, mitatu na expectations za juu. Fanya kama kuongeza nguvu na plan B ukisubir pdf.Nlikua natumiaga web sasa leo nimeidownload ndio nakutana na hayo mambo
Ishu ni mpaka kufanyisha oral means uhtaji upo!Hii inatokana na uhitaji au uharaka wa Mwajiri mf. TRA katika kuendeleza mchakato wa Ajira....
Usaili ukishafanyika PSRS hukabidhi majina pendekezwa kutokana na usaili ulivyofanyika the Mwajiri akishakamilisha mchakato atayarudisha Majina kwa PSRS ili wayatangaze
Mm namuamin mkuu ila nasema kua anything can happen still kwa kua changes zake zmekua too fast yan within 24hrs. You never know inaweza change to selected piaHuyo ameelezea alicho-expirience katika account yake, kwanini hamtaki kumuamini?
Amina MkuuUskae kinyonge mkuu,PDF ndo msema ukweli. Wewe ushafanya part yako the rest mwachie Mungu,usiache kusali kla sku,matokeo yaje mazuri mana wengi after kumaliza tunasahau kumwomba Mungu kwa matokeo mazuri
Status katika web ipo static, katika app ndo ipo dynamicNa ushauri wangu binafsi watu wazingatie sana status ya "kwenye WEB" ndio ina uhalisia ...apps mara nyingi ziko unstable na zina faults
Subiri PDF tu,umelamba Shavu..Mimi nilifanya oral direct LABORATORY SCIENTIST UDSM bila written kwenye web imeandikwa SHORTLISTED interview no......kwenye app ipo SELECTED FOR ORAL interview no......
Hii imekaaje??
[emoji1787]Web ni ipi wakuu kwan?
Na App ni ipi[emoji38]
Naona mnasema web....mara app[emoji1787]
Mkeka bado unapumua hapo, japo sio guarantee kupata kazi.Mimi nilifanya oral direct LABORATORY SCIENTIST UDSM bila written kwenye web imeandikwa SHORTLISTED interview no......kwenye app ipo SELECTED FOR ORAL interview no......
Hii imekaaje??
Yes ni kweli....ila kwenye web zipo zote SELECTED na NOT SELECTED.....na ndio ya kuamini zaidi....ila kwenye app ....selected....not selected.....null....practical.....Oral...haiko stableStatus katika web ipo static, katika app ndo ipo dynamic