1. Mwenyekiti - Final sayMimi nahitaji tu kufaham composition ya panel, yaanibile panel inaundwa na watu wenye sifa gani.
Vp hujalamba asali???Not Selected for Oral imebaki kama ilivyo kwenye App ila kwnye Web ni Selected for Oral.Iyo placement zake zilishatoka.
Me walikua wanne tu1. Mwenyekiti - Final say
2. Katibu - Huyu ni mtumishi wa PSRS
3. HR - huyu ni wa sehemu unapoomba
4. Utawala - hapo unapoomba
5. Watu 2 wa Department yako
6. Gender
Lakini sipo sure sana
Wao pia wanashortage ya watumishi lakini hawataki kuomba kibali. PDF hazitakiwi kuzidi week 3 hawajatoa. Wanalemewa na kazi wakati mtaani IT kibao tunafanya nao vibarua.Me walikua wanne tu
Kuna pdf la kanzidata candidate 1700, ita-solve hiyo issue kwa kiasi chake.Wao pia wanashortage ya watumishi lakini hawataki kuomba kibali. PDF hazitakiwi kuzidi week 3 hawajatoa. Wanalemewa na kazi wakati mtaani IT kibao tunafanya nao vibarua.
Hicho kimulimuli huwa kinazima automatic baada ya siku saba kaka, mfano hilo tangazo la REA litazima tar 23 usikuKimulimuli kimoja cha "NEW" kimezima mida hii tayari kupisha M-PDF mmoja wa 4 megabytes utakaoachiwa mchana wa leo ...Makofi kwa PSRS kwa kukata kiu yetuππ
View attachment 2525680
App ndio msema kweliNa ushauri wangu binafsi watu wazingatie sana status ya "kwenye WEB" ndio ina uhalisia ...apps mara nyingi ziko unstable na zina faults
Umepata kazi au upo kwa database . Ila ukiona kww App NOT....ujue haupo database wala kazi umekosa. Kwa lugha ya soccer tunasema hauja anza na wala sab haupoMimi nilifanya oral direct LABORATORY SCIENTIST UDSM bila written kwenye web imeandikwa SHORTLISTED interview no......kwenye app ipo SELECTED FOR ORAL interview no......
Hii imekaaje??
Uchawi upo, mie ishawai nikuta nilichelewa usaili wa BAKITA pale CIVE. Nikikumbuka naumia sana gharama ya nauli toka dar to dom + hela ya lodge ...Narudia tena kila mtu upata kazi kwa njia yake mwenyewe...uUCHAWI UPO [emoji2][emoji2][emoji2] utani tu jamani.Hawa jamaa walikua shortlisted 11 nadhani lkn waliofanya ni wawili tu wengine walikuja kwa kichelewa wakarudishwa bila kufanya. Tena mmoja alikua anatokea Mara huko lkn alichelewa..
Hivi kuna mtu humu ameshatuma maombi yazi za mzumbe na imekubali, naisi kama IT bado hajaset mambo mpaka wenye sifa inagomaUchawi upo, mie ishawai nikuta nilichelewa usaili wa BAKITA pale CIVE. Nikikumbuka naumia sana gharama ya nauli toka dar to dom + hela ya lodge ...Narudia tena kila mtu upata kazi kwa njia yake mwenyewe...uUCHAWI UPO [emoji2][emoji2][emoji2] utani tu jamani.
Mara zote nilizokua naenda dom, nilikua nahakikisha kumi na moja na nusu nipo ndani ya dala dala pale saba saba, pamoja na hayo, ndoige zilinihusu, ni mikeka kuchanika tu.Uchawi upo, mie ishawai nikuta nilichelewa usaili wa BAKITA pale CIVE. Nikikumbuka naumia sana gharama ya nauli toka dar to dom + hela ya lodge ...Narudia tena kila mtu upata kazi kwa njia yake mwenyewe...uUCHAWI UPO [emoji2][emoji2][emoji2] utani tu jamani.
njia nzuri ya kujiassess kabla ya placement kama anawatu alifanya nao oral awaulize wao wanaonaje kwny account zao. Atapata picha kamili yenye kauhalisia.Ni vile tu hajasema na hatosema alivokabiliana na panel, hiyo ngoma imeshaisha naamini akiwa muungwana atajua ni wapi hakukava vema wakati anajiandaa na hakujib vema katika panel
Si kweli, me mbona niliongoza written na kazi nikapata pia nina rafiki aliongoza written na kazi akapata.Nlichogundua hapa asilimia kubwa ya wanaoongoza written ndio wanafail oral na wanaofaulu oral ni wale waliofail written.
Kwa hyo tulio ongoza written tujipa mahopes eee[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Si kweli, me mbona niliongoza written na kazi nikapata pia nina rafiki aliongoza written na kazi akapata.
Sent using Jamii Forums mobile app
Me naamini kama uliongoza written huwezi shindwa maswali yao ya Oral, wanaokosa ni bahati tu haikua upande wao.Kwa hyo tulio ongoza written tujipa mahopes eee[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Aysee upo makini sana πππππ umenote hadi hilo. πππKimulimuli kimoja cha "NEW" kimezima mida hii tayari kupisha M-PDF mmoja wa 4 megabytes utakaoachiwa mchana wa leo ...Makofi kwa PSRS kwa kukata kiu yetuππ
View attachment 2525680