Sio sisi viumbe vyake atuinue wote kwenye post moja😄😄😄[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mkuu maombi siwez acha kabisa,written naamin nlifaulu kwa maomb tu maana nlichokifaya najua mm na Mungu wangu.
Namuomba Mungu wangu aniinue tena kwa mara nyingine mie kiumbe chake.
Sent using Jamii Forums mobile a
evidence???Nlichogundua hapa asilimia kubwa ya wanaoongoza written ndio wanafail oral na wanaofaulu oral ni wale waliofail written.
Hv utumishi huko hawaoni websiteyao inavyotembelew mara kwa mara[emoji3][emoji3][emoji3]Wadau,, Jana imepita bila pdf Leo vipi..
Wazee wa kuotea tupeni Imani basi na leo hii Juma5
mazaga one Unadhani ni taasisi gani zitakuwa released kumalizia hii wiki, tuko na siku tatu siamini kama hizi 3 zote zitapita patupu
Hii ni kwangu lakini hizo zote NOT SELECTED nimeongoza. Hii nadhani ina ukweli ukikuta not selected kwenye App baada ya Oral tafuta kitu ya kufanya hakuna namna. Lakini nadhani Sekretarieti ya Ajira wangefanya namna ikawa inaonyesha kabisa kama Oral umefaulu au laah. Though sio kwa wote kuna walioongoza na wamelamba Asali piaevidence???
Leo hata Mimi naona harufu ya Placement...Wadau,, Jana imepita bila pdf Leo vipi..
Wazee wa kuotea tupeni Imani basi na leo hii Juma5
mazaga one Unadhani ni taasisi gani zitakuwa released kumalizia hii wiki, tuko na siku tatu siamini kama hizi 3 zote zitapita patupu
Watu ni wadadisi,Hicho kimulimuli huwa kinazima automatic baada ya siku saba kaka, mfano hilo tangazo la REA litazima tar 23 usiku
Sio vizuri kudanganya ili umpe mtu moyo...tupeane moyo kwenye vitu vya kweli.Kuna watu humu walikua na not selected na pdf ikaja wamo ,msijisahaulishe.
Na hiyo ndo sabbu wote tukakubaliana status hazna maana tena.
Two people,same status ila mmoja yumo mwingine hayumo,hvo and the likes,so unaeza ona hapo how meaningless status is.
Kwan hii not selected for oral interview si results baada ya oral???Hii ni kwangu lakini hizo zote NOT SELECTED nimeongoza. Hii nadhani ina ukweli ukikuta not selected kwenye App baada ya Oral tafuta kitu ya kufanya hakuna namna. Lakini nadhani Sekretarieti ya Ajira wangefanya namna ikawa inaonyesha kabisa kama Oral umefaulu au laah. Though sio kwa wote kuna walioongoza na wamelamba Asali piaView attachment 2525778
Hapo placement ilikua bado?Hii ni kwangu lakini hizo zote NOT SELECTED nimeongoza. Hii nadhani ina ukweli ukikuta not selected kwenye App baada ya Oral tafuta kitu ya kufanya hakuna namna. Lakini nadhani Sekretarieti ya Ajira wangefanya namna ikawa inaonyesha kabisa kama Oral umefaulu au laah. Though sio kwa wote kuna walioongoza na wamelamba Asali piaView attachment 2525778
Sijadanganya mkuu,mm kuna mtu aliniambia alikua na not selected na kapita,labda kama alinilisha tango pori.Sio vizuri kudanganya ili umpe mtu moyo...tupeane moyo kwenye vitu vya kweli.
labda connectionSijadanganya mkuu,mm kuna mtu aliniambia alikua na not selected na kapita,labda kama alinilisha tango pori.
Naomba kueleweshwa kitu hapaSijadanganya mkuu,mm kuna mtu aliniambia alikua na not selected na kapita,labda kama alinilisha tango pori.
[emoji3][emoji3], yeah inakubidi iwe hivyo lakini pia unaweza pashwa habari na ndugu, jamaa, marafiki au classmates.Sasa utajuaje ama ndo kila mkeka ukitoka unadanlod kuchek hata kama haukuhusu[emoji23]
Wengine hatuna watu wa kutufatlia sjui ndugu jamaa,uspokua makini kufatlia imekula kwako[emoji3][emoji3], yeah inakubidi iwe hivyo lakini pia unaweza pashwa habari na ndugu, jamaa, marafiki au classmates.
Hii ulikuwa ushafanya oral interview kabisa ndo status ikawa hivi not selected for oral interview??Hii ni kwangu lakini hizo zote NOT SELECTED nimeongoza. Hii nadhani ina ukweli ukikuta not selected kwenye App baada ya Oral tafuta kitu ya kufanya hakuna namna. Lakini nadhani Sekretarieti ya Ajira wangefanya namna ikawa inaonyesha kabisa kama Oral umefaulu au laah. Though sio kwa wote kuna walioongoza na wamelamba Asali piaView attachment 2525778
Ukishamaliza oral keep praying for positive results huku ukisubr pdf. Hyo ndo njia pekee tuna uhakika nayoNaomba kueleweshwa kitu hapa
Yaan ile ukiitwa usail wa oral status inakuwa selected for oral interview
Then baadae hyo status inabadilika kuwa not selected for oral interview kama hujafaulu huo usaili??? Au mnazungumzia nn
Inawezekana pialabda connection
Kuwa mpole, endelea kufuatilia zaidi.Jamani sio kwamba nafatilia status
But ilikuw hivi post ilihitaji watu kumi wakaitwa sita na hiyo post haijawa re advertised
Mimi nilikuwa na not selected mpaku few days ago ilikuwepo hyo not selected
Ghafla jioni hii nmekuta selected for oral[emoji848][emoji848]
Hii inamaanisha nini jamani
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Sasa mm nachookuuliza ni hyo not selected for oral interview ilikuwa baada ya oral interview ndo ukaandikiwa hvyo??Jamani sio kwamba nafatilia status
But ilikuw hivi post ilihitaji watu kumi wakaitwa sita na hiyo post haijawa re advertised
Mimi nilikuwa na not selected mpaku few days ago ilikuwepo hyo not selected
Ghafla jioni hii nmekuta selected for oral[emoji848][emoji848]
Hii inamaanisha nini jamani
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app