Abdul kalaam
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 446
- 568
Hebu nijibu kwanza hiyo mkuuUkishamaliza oral keep praying for positive results huku ukisubr pdf. Hyo ndo njia pekee tuna uhakika nayo
Kwani uspopangiwa kazi....na ukawa haupo kwenye database yao status inabadilika ???Wadau naomba kuuliza
Nilifanya oral interview ya jkci placement zimetoka sipo kwenye pdf
je yawezekana jina liwa limebakia kwenye database ?mana status inasoma selected for oral interview
Ukifaulu oral inabaki hivyo hivyo "SELECTED FOR Oral" hata kama muda wako wa kukaa database umepita.Kwani uspopangiwa kazi....na ukawa haupo kwenye database yao status inabadilika ???
Mm nami ndo nataka kueleweshwa hapo
Au inabakigi hvyo kwamba uliwah fanya oral
Mkuu mbona jibu la swali lako ndo maelezo ya jamaa hapo juu.Sasa mm nachookuuliza ni hyo not selected for oral interview ilikuwa baada ya oral interview ndo ukaandikiwa hvyo??
Yaaan mfano ile umefanya written status inakuwa selected for oral interview
Then baada ya hapo wakishapata wanaowahtaj ndo inakuwa not selected for oral interview??? Kuashiria kwamba ndo shughul imeishia hapo?
Mtu akiuliza swali kama ilo ni obvious kafanya oralSasa mm nachookuuliza ni hyo not selected for oral interview ilikuwa baada ya oral interview ndo ukaandikiwa hvyo??
Yaaan mfano ile umefanya written status inakuwa selected for oral interview
Then baada ya hapo wakishapata wanaowahtaj ndo inakuwa not selected for oral interview??? Kuashiria kwamba ndo shughul imeishia hapo?
Anachouliza yy ni hyo status ilikua before or after placementMtu akiuliza swali kama ilo ni obvious kafanya oral
Humu hata ueleze maekezo yaliyonyooka kiaso gani kuhusu status oral, bado utaulizwa, hiyo ni baada ya oral, siku hizi wame-advance zaidi, tuma screen shot.Mtu akiuliza swali kama ilo ni obvious kafanya oral
Amemshukuru Mungu wake maana huyajui aliyoyapitia kingine maisha ni safari sio wote walio hizo taasisi ndio wana maisha peke yao kuna watu ni walimu na wana pesa ndefu kuliko watu walio kwenye hizo taasisi, kama unafanya kazi bila side hustle usitegemee utafikia mafanikio ya juu labda uwe corrupted servant.
Kaka kwanza hakuna wakili wa serikali mwenye njaa ninawajua kapige kazi .....Safari ya maisha ya mtu anaijua Mungu mkuu. Nina kila sababu ya kufurahia. Hizo nafasi ambazo wewe unaziona za kawaida ni life changing opportunities kwa wengine.
Watu wote hatuwezi kuajiriwa kwenye hizo taasisi ulizosema...wengine lazima wafanye kazi kwingine pia.
Duuuu, lakini tusubirie pdf huwezi jua hata wewe ukaja ukashangazwa.Mimi sikua muumini wa kufatilia status, baada ya kutoka majina ya walioitwa kazini kwa mamlaka ya watiza ushuru, ikabidi nidownload app, kuchek nilikua na hiyo Not selected for ... Lakini nilijua wapi nilizingua.
Na kama status ikiwa shortlisted na ushafanya oral tyr na nafasi umekosa apo inakuaje mkuuHakuna sehemu status zimefafanuliwa ila watu wengi tunaamini ikiwa status yako itaendelea kusoma SELECTED FOR oral baada ya kufanya Oral interview means umefaulu interview na kuna mawili either upate placement au uwe reserve kwenye Database.....ila ukiwa na NOT SELECTED FOR Oral means haukufaulu Oral interview, means hujapata placement na jina lako halitaingia kwenye database ya usaili huo
We Hesabu week 3 toka ufanye Oral arafu anza ss Kutazama Status kweny App tuYes boss
Upo kwenye keka la DatabaseNa kama status ikiwa shortlisted na ushafanya oral tyr na nafasi umekosa apo inakuaje mkuu
JF washawahi kuupromote huu uziMwanzilishi wa huu uzi hakutegemea kama ungekua viral namna hii,tumeukuta tutauacha tutarudi kuuchungulia huu uzi
Tusubiri PDFSababu gani zinasababisha wasitoe majibu ya oral?
lkn bdo utumishi wamekazaJF washawahi kuupromote huu uziView attachment 2525893
Mwaka 3 ss 🤔Una muda gani mtaani tangu umemaliza chuo?.
Hebu chungulia kwenye account yako status inasemaje huko?Lakin kwa sasa si tumekubaliana kila mtu ni selected for oral,namna gani pale mtu wa IT[emoji848]Anatuvuruga vuruga