Sisi bado tunasubiri cheki namba aiseeWaheshimiwa waliopo kwenye mirija wa asali,
Leo ni Tarehe 21, vipi jambo limefanyika huko kwenye akaunti?
Maana kuna mtu namdai, yupo kwenye mrija ila ananiambia kwenye akaunti yake mambo bado; nataka nijue kama ni kweli au ananizingua.
Mimi binafsi huu mwezi Wa Tatu,Oral November 28 mpaka Sasa PDF hamna...JF washawahi kuupromote huu uziView attachment 2525893
Ukimkuta mjomba "NOT" ujue tayari washakula kichwa.Vp hujalamba asali???
Kuna utofauti wa kujibu kwa kuandika, na kujibu kwa oral. Binadamu tumeumbwa tofauti, wapo ambao wapo vizuri kwenye uandishi, na wapo ambao wapo vizuri kwenye maongezi.Okay bt still ni kama written tu,unamention points wanaziandika then unasahishiwa
Hapana, sijaapply[emoji3062]Ahaa sawa, Pole sana na majukumu.
Niliona nafasi kule WCF, ushaongeza received? nasikia sio haba huko(WCF)
Si tumesema status hazina maana lkn Hakikisha kwako ipo Selected for na sio Not Selected for after OralHuyu yeye kanotice not selected pdf lishatoka,so hapo si ni sahh kabisa.
But pdf haijatoka useme not selected ni kufeli si sahihi mpaka pdf litoke ndo uhakika
Haya yote wanayataka wenyewe,kitendo Cha kuchelewa kwa PDF la placement ni shida sana.Huu mjadala wa status hauna afya pigeni simu psrs wawajibu duuh
SHORTLISTED?? ww ni kati ya wale waliokula kitonga cha kufanya Oral moja kwa moja bila kupita written(Mchujo)???Na kama status ikiwa shortlisted na ushafanya oral tyr na nafasi umekosa apo inakuaje mkuu
As for me nakuelewa 100%, halafu sielewag watu wa tuma screenshot tuprove aisee[emoji23], yaani mtu ni issue ake mwenyew mnamlazimisha atume screenshot...At least umenielewa... let's keeping praying kwenye zile 3 nitokee ata moja na wewe oral yako uliofanya juzi Kati utoboe
Daaaah iwe hvyo mkuu vijana tulambe Asali kwenye Serikali ya mama
Wee umenifurahisha[emoji23]Waheshimiwa waliopo kwenye mirija wa asali,
Leo ni Tarehe 21, vipi jambo limefanyika huko kwenye akaunti?
Maana kuna mtu namdai, yupo kwenye mrija ila ananiambia kwenye akaunti yake mambo bado; nataka nijue kama ni kweli au ananizingua.
Sikuangalia nlikua natumia website tu. Sasa baada ya kuskia kuhusu Application ndio nikadownload nakukutana na iyo mambo.Hii ulikuwa ushafanya oral interview kabisa ndo status ikawa hivi not selected for oral interview??
Hahahah kwa faida ya wengi,Kwa maana kitu kigeni watu wengi hutamani kujua ukweli wake.Si unajua na wenge la kusubiri PDF,samehe BureAs for me nakuelewa 100%, halafu sielewag watu wa tuma screenshot tuprove aisee[emoji23], yaani mtu ni issue ake mwenyew mnamlazimisha atume screenshot...
Watu watata sana wanatfuta faraja kupitia status za watu wengineAs for me nakuelewa 100%, halafu sielewag watu wa tuma screenshot tuprove aisee[emoji23], yaani mtu ni issue ake mwenyew mnamlazimisha atume screenshot...
Picha la kutisha,nataka nifute app naogopa nsije kua obsessedWe Hesabu week 3 toka ufanye Oral arafu anza ss Kutazama Status kweny App tu
Mkuu ukituuliza sisi unatuoneaSababu gani zinasababisha wasitoe majibu ya oral?
Wana mzigo mzito na wanafuata miongozo yao. Hatua kwa hatua, mmoja akikosekana kwenye hatua ambayo anatakiwa kuitekeleza, jambo lazima likwame hadi atakapokuja. Najaribu kuwaza hivilkn bdo utumishi wamekaza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]vichwa ngumlkn bdo utumishi wamekaza