HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Mnaovutana status namba hizo pigeni muulize ukweli wa status
 
Ila maisha ya ajira ni vile tu hatuna namna, ukipata na kupangiwa halmashauri, unaanza kukabiliana na pressure za madiwani, mkurugenzi, mbunge bado hoja za mkaguizi.
Kikubwa ni kuwa kwenye mstari tu, ulitaka kuwa mpigaji lazima utaona kazi ngumu, shida ya Vijana wengi tunapenda maisha ya haraka haraka.

Leo una kazi, unataka kigari, unataka nyumba Kali, unataka umiliki tozo Kali nyingi, mwishoe utaingia kwenye ulevi wa kupindukia na Bata za kwenda mbele,Huku ukijua kipato chako kidogo,at the end utaanza kutaka kuanza kuiba,mambo ya kufoji Saini,nk...

Hapo ndio utaanza kugombana na wasimamizi kwenye Halmshauri.,Ila Ukienda kazini na kuwa mtulivu Huku ukiridhika na ulichonacho hata hizo stress huwezi kupata na utaipenda kazi yako.
 
Mbn Jamaa kaeleweka anakuambia hizo zote Not Selected aliongoza (Japo akusema aliongoza nn lkn tunajua anamaanisha aliongoza Written Interview) so hizo Not Selected for ni baada ya Oral
 
Oyaaa!! Makazini huko, kuna watu wana mifumo yao, usifikiri ukiwa umenyooka sana ndio itakua salama yako, unaweza ukawa umenyooka sana, ukalengeshwa tu na kazi ukafukuzwa.

Maisha ya makazini ni tofauti kabisa tunavyodhania.
 
Oyaaa!! Makazini huko, kuna watu wana mifumo yao, usifikiri ukiwa umenyooka sana ndio itakua salama yako, unaweza ukawa umenyooka sana, ukalengeshwa tu na kazi ukafukuzwa.

Maisha ya makazini ni tofauti kabisa tunavyodhania.
SIKUPINGI Kwa hili.Hasa ukutane na Machawa wa Maboss😂🙌🙌🙌🙌
 
Hii ni kweli kabisa. Ingesaidia sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…