..www.ajira.go.tz naona imekua nzito kuload saiz, dizaini kama kuna kitu cha "MB nyingi" kina-uploadiwa😀
Changamoto nafasi zisipopatikana.....Hii ni kweli kabisa. Ingesaidia sana
Inawezekana, cha muhimu vuta subra na uendelee na harakati zako.Wadau naomba kuuliza
Nilifanya oral interview ya jkci placement zimetoka sipo kwenye pdf
je yawezekana jina liwa limebakia kwenye database ?mana status inasoma selected for oral interview
Noma sana Mzee,ila Kuna raha yake ku search na kukuta jina lake palee...Asee sema ndio hvyo kwenye kutafuta Kuna matokeo mawili,kupata na kukosa.Muhimu ni kuomba uwe Wakati wako tu...Uzuri mkeka ukidondoka, unapiga sala ukiwa una-ushusha, unacheko mara ya kwanza jina halipo, unarudia kucheki mara ya pili jina hulioni, unajioa sekunde kumi, unacheki kwa makini zaidi mara ya nne, jina hakuna, una-search pale juu, unajibiwa result not found.
Unalifuta pdf, unashusha kwa mara nyingine, unacheki kwa makiiini, haujioni. Unajisemea kweli ngoma ngumu.
hahahaha hahahaha hahahaha hahahahaUzuri mkeka ukidondoka, unapiga sala ukiwa una-ushusha, unacheki mara ya kwanza jina halipo, unarudia kucheki mara ya pili jina hulioni, unajipa sekunde kumi, unacheki kwa makini zaidi mara ya nne, jina hakuna, una-search pale juu, unajibiwa result not found.
Unalifuta pdf, unashusha kwa mara nyingine, unacheki kwa makiiini, haujioni. Unajisemea kweli ngoma ngumu.
Sekretarieti ya Ajira hiyo placement ya taasisi hizo za November,2022 hadi Sasa PDF halijatoka...Tunasubiri kujua mbivu na mbichi.Tumesubiri sana Jamani.TAEC, SUA, ASA, TARI,OUT, RUWASA 💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥
Afu kuna kua na mapigo flan ya moyo yanaumaa🙄Uzuri mkeka ukidondoka, unapiga sala ukiwa una-ushusha, unacheki mara ya kwanza jina halipo, unarudia kucheki mara ya pili jina hulioni, unajipa sekunde kumi, unacheki kwa makini zaidi mara ya nne, jina hakuna, una-search pale juu, unajibiwa result not found.
Unalifuta pdf, unashusha kwa mara nyingine, unacheki kwa makiiini, haujioni. Unajisemea kweli ngoma ngumu.
Ngoma Ngumu,hiyo ilinikutaga kwenye PDF la Polisi asee...Hata hamu ya kuangalia mpira ilipotea🤭Uzuri mkeka ukidondoka, unapiga sala ukiwa una-ushusha, unacheki mara ya kwanza jina halipo, unarudia kucheki mara ya pili jina hulioni, unajipa sekunde kumi, unacheki kwa makini zaidi mara ya nne, jina hakuna, una-search pale juu, unajibiwa result not found.
Unalifuta pdf, unashusha kwa mara nyingine, unacheki kwa makiiini, haujioni. Unajisemea kweli ngoma ngumu.
Wakati wako Bado,Wakati ukifika mambo yatajipa.Uziri upo kwenye Database subiri tu muda ukifika imoNilifaulu kwenda oral mara mbili mfululizo Ila sikupangiwa kituo cha kazi, nikasema utumishi nimewajulia kilichofuata ni kuchezea tu vibao!!!!
Usiombe hilo ndio liwe pdf ulilokua unajipa nalo matumaini, unalishusha mara ya nne, unalicheki jina hakuna, ukicheki upo benchi miaka sita au saba na ndo ilikua received ya mwisho hiyo, unafikiria pdf nyingine za kazi zitashuka lini hupati jibu, machozi hayoo yanatiririka.Ngoma Ngumu,hiyo ilinikutaga kwenye PDF la Polisi asee...Hata hamu ya kuangalia mpira ilipotea🤭
Noma sana Mzee.Hatari na nusuUsiombe hilo ndio liwe pdf ulilokua unajipa nalo matumaini, unalishusha mara ya nne, unalicheki jina hakuna, ukicheki upo benchi miaka sita au saba na ndo ilikua received ya mwisho hiyo, unafikiria pdf nyingine za kazi zitashuka lini hupati jibu, machozi hayoo yanatiririka.
Wenye moyo mwepesi wanakosa "content" wanapotea kabisa katika uzi wetu huu pendwa 🤪🤪😂
Dah inauma sana mungu awape ujasiri waliopitia hali hii ngumuUsiombe hilo ndio liwe pdf ulilokua unajipa nalo matumaini, unalishusha mara ya nne, unalicheki jina hakuna, ukicheki upo benchi miaka sita au saba na ndo ilikua received ya mwisho hiyo, unafikiria pdf nyingine za kazi zitashuka lini hupati jibu, machozi hayoo yanatiririka.
Wenye moyo mwepesi wanakosa "content" wanapotea kabisa katika uzi wetu huu pendwa 🤪🤪😂
Sema mkeka unaokuja mzee utatoboa, utakua umefaulu na kupangiwa kituo cha kazi.Noma sana Mzee.Hatari na nusu
Amen,Sema mkeka unaokuja mzee utatoboa, utakua umefaulu na kupangiwa kituo cha kazi.
Asante mkuuDah pole sana,Kikubwa ni kumuomba Mungu tu,na kuishi nao kwa Akili
Hali sio poa mtaani.Dah inauma sana mungu awape ujasiri waliopitia hali hii ngumu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]alooooWeka ya status yako kwanza tuone