Umemaliza mkuu. Hao wengine wanapiga kelele tu tena zisizokuwa za msingi.Ukishamaliza oral keep praying for positive results huku ukisubr pdf. Hyo ndo njia pekee tuna uhakika nayo
vibayaaAfu kuna kua na mapigo flan ya moyo yanaumaa🙄
Sawa tunapiga kelele, ila ukikutana na """NOT"" tutakuja kupiga kelele pamoja hapa.Umemaliza mkuu. Hao wengine wanapiga kelele tu tena zisizokuwa za msingi.
Maliza Oral interview, keep on praying for positive results, keep on waiting for a pdf. Achana na maneno mengi yanakupa stress bure.
Demu wako nae msomi kama wewe??vijana tunapitia mengi,hasa kwenye kuisoma pdf panakazi hapoo. kwangu mm nikiona simo kwenye pdf najisemea kimoyo moyo demu wangu atanielewa kweli ,but tutafanikiwa wakuu
NOT SELECTED FOR ORAL INTERVIEW ilisomeka kwenye App baada ya kufanya Oral interview, kwenye Website ilibaki ile ile SELECTED FOR ORAL INTERVIEW na pdf ikaja, jina likawemo. Najua wadau wapo wengi walioona hilo ila hawataki ongea humu.Sawa tunapiga kelele, ila ukikutana na """NOT"" tutakuja kupiga kelele pamoja hapa.
Jobless mna hasira sn ss Maswali yote haya ya nn kifupi tuna wapenzi ambao subira zao zina kikomo? Hawezi kuendelea kuvumilia shida Kwa kipindi kirefuDemu wako nae msomi kama wewe??
Je yeye Hana sehemu amejishikiza?
Je ushazaa nae mtoto??
Je unaishi nae mazingira mamoja??
🤣🤣🤣🤣 mtu wa kwanza kupata not na kapata kazi ndo ww bro. Ila as long as hatuna usibitisho na hakuna ata mdau mmoja aliwai kuwa na scenario yako mi sitakuamini labda wengine .NOT SELECTED FOR ORAL INTERVIEW ilisomeka kwenye App baada ya kufanya Oral interview, kwenye Website ilibaki ile ile SELECTED FOR ORAL INTERVIEW na pdf ikaja, jina likawemo. Najua wadau wapo wengi walioona hilo ila hawataki ongea humu.
Mtumishi wa umma kua na subira wakati utafika pdf litapanda hewani ukajianglie kama imo au laaMm naamin serkali iko vizur sema mipango ndo shida interview tunafanya Ila replacement ndo hakuna na bado wanatoa post za ajira kwa nn wasipunguze watu kwanza waliofanya oral kuwapangia kaz?
Kama hawezi vumilia shida Kwa Muda mrefu Ina maana HAKUPENDI.Jobless mna hasira sn ss Maswali yote haya ya nn kifupi tuna wapenzi ambao subira zao zina kikomo? Hawezi kuendelea kuvumilia shida Kwa kipindi kirefu
confidential mkuu, sema nn depression itatuua majoblesiDemu wako nae msomi kama wewe??
Je yeye Hana sehemu amejishikiza?
Je ushazaa nae mtoto??
Je unaishi nae mazingira mamoja??
Wanaume tumeumbwa mateso kuhangaika.confidential mkuu, sema nn depression itatuua majoblesi
Anatuchora mkuu🤣🤣🤣🤣 mtu wa kwanza kupata not na kapata kazi ndo ww bro. Ila as long as hatuna usibitisho na hakuna ata mdau mmoja aliwai kuwa na scenario yako mi sitakuamini labda wengine .
Tatizo kuna watu wanajua Kabisa wametumia njia gani kupata Kazi arafu Bado na wao wanakuja kutoa Ushuhuda km Kweli walifata Njia sahihi ya Kutafuta Kazi?🤣🤣🤣🤣 mtu wa kwanza kupata not na kapata kazi ndo ww bro. Ila as long as hatuna usibitisho na hakuna ata mdau mmoja aliwai kuwa na scenario yako mi sitakuamini labda wengine .
nimekusoma afsaKama hawezi vumilia shida Kwa Muda mrefu Ina maana HAKUPENDI.
Mchumba wako akiwa Bado anakaa Kwa wazazi jukumu la kuhudumia sio lako,ila pale unapomchukua ndio jukumu lako.Tatizo vijana wa Sasa tunataka kuwahi majukumu na kufanya vitu vya matarajio makubwa Kwa wanawake ndio maana wanatukimbia wakikosa hivyo vitu..
Tuishi nao kwa akili,kama Leo Sina Kesho ninacho nitamhudumia.Ila isiwe ndio lazima.
mfwende mpina
nimekusoma afsaKama hawezi vumilia shida Kwa Muda mrefu Ina maana HAKUPENDI.
Mchumba wako akiwa Bado anakaa Kwa wazazi jukumu la kuhudumia sio lako,ila pale unapomchukua ndio jukumu lako.Tatizo vijana wa Sasa tunataka kuwahi majukumu na kufanya vitu vya matarajio makubwa Kwa wanawake ndio maana wanatukimbia wakikosa hivyo vitu..
Tuishi nao kwa akili,kama Leo Sina Kesho ninacho nitamhudumia.Ila isiwe ndio lazima.
mfwende mpina
Tena usikute yupo kama mimi anapigwa na jua, anabeba mifuko ya cement kama mm, halafu anasema kapata kazi akiwa na ndugu """NOT"". Ila kheri iwe juu yake.Anatuchora mkuu
Jamaa kaongea kweli japo mnamkataa...status hazusadifu kupata au kukosa kazi...wait for pdf mkuuTatizo kuna watu wanajua Kabisa wametumia njia gani kupata Kazi arafu Bado na wao wanakuja kutoa Ushuhuda km Kweli walifata Njia sahihi ya Kutafuta Kazi?
Kuwa na NOT SELECTED after ORAL na utoboe kwenye PDF Binafs na dought kuna njia mtakuwa mmetumia ss Msije kutupotosha Humu. Km unajua Maarifa yako nje na kujibu Mtihan/Sahili ndy yamekutoa Acha kuja kutufariji Humu kaa Kmy tu.