Mwaka 3 ss 🤔
All in all mim ninastand kwmba huenda mtu ana not selected for oral na akapta placement na pia anaweza kukosa pia🤣🤣🤣🤣🤣 boy tatizo wengi humu wazito kuelewa hatujawai sema status zinasadifu kitu kwenye placement, au utajua umepata placement, rudi kasome comment za nyumaa huko, kimsingi nimechoka kurudiaga ili swala.
Ushaambiwa mara ngapi placement wanatoa baada ya week 3, na ikachukua miezi 2 na ata zaid ya 3, , so huwa wanatoa majibu ya faraja ambayo hayawezi kumkwaza mtu.Fact ninayosimama nayo baada ya kuuliza utumishi ni kwamba hizo status zinabdilika kutokna na app kuna ipo ktk matengenezo so hazisadifu chchote katika placement
ukiandikuwa not selected for oral so unaweza forci ukatinga kwenda oral kupiga usahili baada ya written coz app haisadifu chochote?? ama unamanisha haisadifu chochote after oral interview?Kwa hiyo huenda mtu akawana na not selected for oral kwenye app na akapata kazi
After oral mkuuukiandikuwa not selected for oral so unaweza forci ukatinga kwenda oral kupiga usahili baada ya written coz app haisadifu chochote?? ama unamanisha haisadifu chochote after oral interview?
Hilo ni suala lingine kama wamenipa moyo kwa maneno ya urongo but hayo ndo majibu yaoUshaambiwa mara ngapi placement wanatoa baada ya week 3, na ikachukua miezi 2 na ata zaid ya 3, , so huwa wanatoa majibu ya faraja ambayo hayawezi kumkwaza mtu.
Wew mbona una mng'ang'ania uyo NOT utasema unaye.All in all mim ninastand kwmba huenda mtu ana not selected for oral na akapta placement na pia anaweza kukosa pia
Hilo ndo la msingi mkuu kila mmoja abaki na imani yake na uelewa wakeWew mbona una mng'ang'ania uyo NOT utasema unaye.
Kaka kuamini kitu ni choice, na hakuna anaeku force kuamini vinginevyo, all the best.
Anaendelea kuchunga ng'ombe akiwa ameshapeleka barua kwa mwajiri, anasubiri simu tu ya kwenda kuripoti kazini. Yuko tofauti na wengi humu.Na endelea tu kuchungaa ngombe🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Na hutoshikiwa fimbo kuaminishwa NOT ni baba jeni byebye.Hilo ndo la msingi mkuu kila mmoja abaki na imani yake na uelewa wake
Wizy kwni ile ya OCR inasomaje hapo kweny app 🤣Na hutoshikiwa fimbo kuaminishwa NOT ni baba jeni byebye.
Kuumia Kwa kiasi kikubwa ni Hali na Utamaduni wa Mtu. Katika Maisha nishapitia Nyakati Ngumu zilizofanya muda wote niwe natokwa na machozi tu mpk nikahisi ss huu ndy muda wa kukutana na Israel mtoa Roho. Lkn baada ya kipind hicho kupita na kuendelea kuwa na Uhai mpk ss naamini vitu vyote na Matukio yote yanakuja Kwa sababu Mwenyezi Mungu kapanga iwe hivyo(Nachokiamini km We sio Bora na Huna Imani ni Ngumu kujaribiwa hii ni Kiimani zaidi hata ukirejea kwenye Bible wote waliojaribiwa walikuwa watu wa Imani Sana) . Namna unavyokuwa mwepesi wa kuyapokea Yale Mabaya na kumshukuru Mungu ndy njia sahihi ya kushinda manunguniko na majozi yote utapokosa majina yetu Kweny PDF.Kuna watu wengi sana wamemaliza awamu ya 4(kipindi Cha. Mh Kikwete) Kwa maana hyo wana zaidi ya miaka 8 na kuendelea na bado hawachoki kupambana.
Kumbuka awamu iliyopita Ajira zilikuwa kiduchu sna (Kiongozi wa wakati ule Ajira hakuipa kipaumbele kabisa.Kwa hyo wengi hawakupata hyo fursa.
Kwa hyo unafikir mtu kama huyo pdf likitoka hayupo atakuwa normal kama ww ambae bado upo ktk your early 20's na bado una chance nyingi za kuomba na pia bado unaishi kwenu?.
Pia nimekosa nafasi mara mbili na kiukweli niliumia sna na member wengi pia humu ni hvyo hvyo. Rejea post ya jamaa yetu Twinawe baada ya kukosa nafasi TRA alivyoandika Kwa uchungu ndio utajua ni kiasi gani mtu anapata maumivu.
kweli.. sasa hawa utumishi ni bora watoe placement zote za december na november ili mtu ajue kama kakosa au kapata, kuishi kwa stress kuwaza placement sio vzur...UKIFANYA ORAL ACHANA NA STATUS SUBIRI PDF UTAJIPA STRESS BURE ZISIZO NA MAANA
Sema wewe pia mkuu.Anxiety ya status itaua jobless humu ,,calm down people !
Subirini pdf za placement ,mtakufa Kwa kihoro na hizo issues za status
NOT SELECTED FOR= SELECTED FORNa hutoshikiwa fimbo kuaminishwa NOT ni baba jeni byebye.