HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hakika mungu atafanya wepesi kwenye ugumu.
 
Sekretarieti ya Ajira Tunawaombeni basi, November-December tushasubiri sana PDF la placement.
 
usisahau kuwambia kua waanze na mkeka wenye mb 10 mkuu
Wapo humu Mzee unaweza kuwa unawatag,maana ya kuwepo humu ni kwamba Wametufikia....Na wanasema comments zetu na wanatujali pia.
Kongole kwenu
Sekretarieti ya Ajira kwa kazi nzuri mpaka Sasa,kila mtu kapata Kazi kwenye Taasisi hata ambazo hawakuwahi kuwaza.Hii ni matunda yenu nyie...
Sisi tupo na nyinyi.Mhe.Rais Tunaomba tu PSRS waendelee kuajiri Ajira zote ziwe za mkataba au Permanent.Naimani Sasa kazi kwao itaendelea Kwa kasi zaidi.Kama Bwana Kitenge alipokaa kikao na Mhe.Waziri na kusema amepokea maelekezo basi,Sisi pia tumeona mwezi huu February placements zimetoka Kwa wingi na Kwa haraka,basi tuna Imani Kubwa vijana wengine waliofanya usaili November-December michakato Yao ikiwa mwisho mwisho kwa ajili ya placements zao kuachiwa.
 
Yaah luteni
 
inabidi tukupe kazi uwe msemaji wa wasaka asali umetoa maneno ya busara ninaimani psrs wakisoma ujumbe wako mchana saa saba na nusu tunadownload pdfπŸ˜„πŸ˜„πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…