Tutakuja tena utakiona cha mtema kuni.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hahah mm na ww tofaut na type uku nipo kwenye hii ghorofa ya ORCI nikiangalia bahari [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] namsubir Mwifwa aje kunikagua.
kapitie ma file na mm uku na kua nondo how/ jinsi ya kutokutwa na shida mkija.Tutakuja tena utakiona cha mtema kuni.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Usiache kuvalidate vifaa vyako mara kwa mara.
Nipo napitia mafile na report hapa nione mambo
Kwenye web ni written na practical kabla ya kufanya oral. Lakini ukishafanya oral kwenye web haibadiliki inabaki selected for oral au Shortlisted for oral.Na ushauri wangu binafsi watu wazingatie sana status ya "kwenye WEB" ndio ina uhalisia ...apps mara nyingi ziko unstable na zina faults
pdf ndo msema kwelii mambo ya status ni kujitia stress.Kwenye web ni written na practical kabla ya kufanya oral. Lakini ukishafanya oral kwenye web haibadiliki inabaki selected for oral au Shortlisted for oral.
Ndio bossHivi wakuu, sisi wa LGA na MDA....Tunaweza kupangiwa pia kwenye Mashirika na Wizara tofauti na Halmashauri?
Yaaan hadi wiki ipite ndo placement ipate mkeka mwngineWapwa leo hakuna dalili ya pdf lolote?
Hii ni kwa wale wasio na "NOT SELECTED" yenye rangi nyekundupdf ndo msema kwelii mambo ya status ni kujitia stress.
kama unaamini status basi jihukum nayo usidownload pdf. La sivyo hakuna haja ya kuendelea kuminyana na status otherwise tuifanye mada ya kusogeza muda na kupunguza stress za kusubir pdf.
Off la TARI tayar angalienHii ni kwa wale wasio na "NOT SELECTED" yenye rangi nyekundu
Pdf la TARI TAYAROff la TARI tayar angalien
Nyinyi LGA &MDA inaweza fika mpaka miezi nane, maana waanze kupanga barua kwa kulingana na kila halmashauri, waje wapigizane kelele na hazina kama fungu lipo kwa waajiriwa wapya, miezi nane michache, miezi kumi au kumi na mbili. 🤪🤪🤪
Mbona PDF la waziri halitoki?Pdf la TARI TAYAR
Mapeemaaa leooo watu wanalamba mrijaa wa asali kongole kwaoPdf la TARI TAYAR
Tuendlee kuskilizia mkuu tunalisbri kwa hamu sanaa hilo pdfMbona PDF la waziri halitoki?
Yan sijui ni liniTuendlee kuskilizia mkuu tunalisbri kwa hamu sanaa hilo pdf
Acha tu mkuu subira jambo zitoYan sijui ni lini