monoclinic
JF-Expert Member
- Nov 15, 2013
- 262
- 323
Yani mimi nikiingia tu oral.zaga halitoki mapema.wadau wakiingia mwezi mmoja tu kitu mweku mweku.mawakili na wanasheria wa NPS mlisema zimefutwa .juzi hapa zimetoka na wengi wamelamba asali. acha kutishia watu utaua kwa presha
God is great[emoji120]. It was my fist oral interview after several attemps since 2020. Research Assistant, TARI.kuna aliye lamba asali hapa wakuu
Yaaan hasa Nov 28 yaaan karibu mikeka yote ya kabla na baada inatoka kila uchwaoYani mimi nikiingia tu oral.zaga halitoki mapema.wadau wakiingia mwezi mmoja tu kitu mweku mweku.
Hata ile presha ishapungua saa izi naona kawaida tu.
So usishangae kuskia goma limefutwa.kawaoda sana hiyo
never give up champ,is our time to shineYani mimi nikiingia tu oral.zaga halitoki mapema.wadau wakiingia mwezi mmoja tu kitu mweku mweku.
Hata ile presha ishapungua saa izi naona kawaida tu.
So usishangae kuskia goma limefutwa.kawaoda sana hiyo
Jaman jaman....God is great[emoji120]. It was my fist oral interview after after several attemps since 2020. Research Assistant-Agriculture, TARI.
Status: Selected for Oral kwenye web na kwenye App
Ndo mana nahisi zimefutwa aisee.Yaaan hasa Nov 28 yaaan karibu mikeka yote ya kabla na baada inatoka kila uchwao
Ila hii ya Nov 28 kmyaaaa
Hongera sana ukawe Mtumishi mwemaGod is great[emoji120]. It was my fist oral interview after after several attemps since 2020. Research Assistant-Agriculture, TARI.
Status: Selected for Oral kwenye web na kwenye App
Hongera luteni kanali, mwanzo mpya na ukurasa mpya wa harakati za kutusua. naona ishu ya status umenijibu bila hata ya kuuliziaGod is great[emoji120]. It was my fist oral interview after after several attemps since 2020. Research Assistant-Agriculture, TARI.
Status: Selected for Oral kwenye web na kwenye App
Jamaa sasa mipango yake na malengo vikamilikeHongera luteni kanali, mwanzo mpya na ukurasa mpya wa harakati za kutusua. naona ishu ya status umenijibu bila hata ya kuulizia
Sure man.never give up champ,is our time to shine
Sio DatabaseHalafu hili zaga la TFS ni la database looote.
Yaaan TFS, TARI mwaka huu wamejitahidi kuajiri kwa kweli
yaah,maana kitaa jua kali mnooJamaa sasa mipango yake na malengo vikamilike
Hongera sana mwamba,ukawe mtumishi mwema.Mungu ni mwema sana.God is great[emoji120]. It was my fist oral interview after several attemps since 2020. Research Assistant-Agriculture, TARI.
Status: Selected for Oral kwenye web na kwenye App
Na sie wa kiume mambo yote ni wwyaah,maana kitaa jua kali mnoo
umewatag sana Psrs,mpaka wameona isiwe tabuHongera sana mwamba,ukawe mtumishi mwema.Mungu ni mwema sana.
acha tu afsaNa sie wa kiume mambo yote ni ww
Utamlisha nn mtot wa watu na maisha yasiyoeleweka..
Mwanzo wa kudharauliwa
Walifanya saili hao TFS?Sio Database
Hongera sana ukawe mtumishi mwema.God is great[emoji120]. It was my fist oral interview after several attemps since 2020. Research Assistant-Agriculture, TARI.
Status: Selected for Oral kwenye web na kwenye App
Acha tuu mkuu. Kila jambo na wakati wake. Kuna wakati nilikata tamaa hasa baada ya kuangukia pua NAOT na kutoswa NIRC, ila wa ubavu akanitia moyo nijaribu mara ya mwisho kwani nauli yenyewe ilikua kwa kuunga unga na magari ya usiku na malori. Hatimae Mungu amejibu kilio changuJaman jaman....
Hongera sana
Kalambe asali sasa
Miaka mitatu kitaan imekufunza funza vtu