HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hongera sana mkuu,

Kumbuka kutoa shukurani Kwa hatua hii muhimu uliyopata ktk maisha yako. Pia, usisahau kujipongeza.

Na mwsho, ukawe mtumishi mwenye kufata màadili ya kazi yako.
Mkuu umeongea maneno matatu safi sana, naimani muhusika ataishi humo na ninaongezea asisahau kujiongeza kimaisha(Multiple source of incomes) kadri atakavyojaariwa.
 
Hizi inshu za not selected zipo hiyo yangu niliipata baada ya oral ya IAE. PDF ishatoka cjatoboa .. Ila tusivunjike moyo wakati wa Mungu ukifika na cc tapata asaliView attachment 2527285
Kwanza "Not"yenyewe rangi nyekundu, hivi mnaelewa maana ya rangi nyekundu, tusilete utani tuseme status hazina maana pale tu yako inasoma haina neno hilo hapo ndiyo useme haina maana.
 
Kwanza "Not"yenyewe rangi nyekundu, hivi mnaelewa maana ya rangi nyekundu, tusilete utani tuseme status hazina maana pale tu yako inasoma haina neno hilo hapo ndiyo useme haina maana.
Kweli ndugu waelimishe.
 
Kwenye placement inabidi yaondoke matangazo yale ya kuitwa kazini ya tar 14 na 16 ili kupisha mengine mazito mazito[emoji2357][emoji2357][emoji2357]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…