Mkuu samahani hizi status zilibadilika baada ya kua umefanya oral au baada ya written?Hizi inshu za not selected zipo hiyo yangu niliipata baada ya oral ya IAE. PDF ishatoka cjatoboa .. Ila tusivunjike moyo wakati wa Mungu ukifika na cc tapata asaliView attachment 2527285
😂😂😂 Kweli Kaka,Subra muhimuBasi tuwe wapole tu
Kwa vile wote ni wa Nov 28 itatoka kwa pamoja[emoji3][emoji3][emoji3]
Kasema baada ya kuwa amefanya oral hapoMkuu samahani hizi status zilibadilika baada ya kua umefanya oral au baada ya written?
Hiyo ya IAE ni baada ya OralMkuu samahani hizi status zilibadilika baada ya kua umefanya oral au baada ya written?
Umeona eeee...[emoji23][emoji23][emoji23] Kweli Kaka,Subra muhimu
OkKasema baada ya kuwa amefanya oral hapo
Mkuu ukila shavu Mkoa wako wa maisha utakuwa Dom maana kama niliona ofisi zao pale,, au zipo Kila Kanda..?Daah we jamaa umenshtua kinoma..nalisubiria iloooo la TMDA
OkHiyo ya IAE ni baada ya Oral
Wasalimie sana ndugu zangu wa hapo Mwanzi, Majengo, Samaria na Mjini. Waambie kijana wao bado nasubiri pdf. Placement ikitoka nikiwepo nitakuja kuwasalimia na ndugu wengine wapo Itigi, Doroto, Itagata, Ukimbu, Makale na Mitundu (hapa ndugu wapo wengi sana)hizi ishu za kuchungulia page ya utumishi,zimenikumbusha pindi nasotea mkopo -loan board (helsb) deili nikawa na refreshi page yao, nikaja kupata kwa msaada wa statement ya abduli nondo& Anko magufuli aliposema hela yake haijaisha. wapeni watoto wote hela kufikia ijumaa ,aiseeh kama sio yule mzee sidhani kma kabachela kakuokota ningepata, ngoja niendelee kulima korosho huku Manyoni mpaka pdf ya Psrs itakapo tema
Kulamba Asali ni upatikanaji wa nafasi lkn hiz Status zinatoa taarifa tu Baada ya kupiga Oral lkn Bahati Mby zaidi taarifa tunayopewa Kwa kupitia Status after Oral ndy hatuijui vzr. Kwa Iman Yng wengi wao wanaofika Oral wapo vzr sn na Kwa Ubora wao naamini wanaofeli Oral ni wachache kuliko Idadi ya wanaofaulu Jambo linalobaki ni Idadi ya Nafasi zinazohitaji Bhs.Na kuna mwngne hapo juu ilibadilika mara tatu kama ww na kalamba asali.
Haya mambo ya status sio ya kutilia maanani kabisa.
zimewafikia mkuuWasalimie sana ndugu zangu wa hapo Mwanzi, Majengo, Samaria na Mjini. Waambie kijana wao bado nasubiri pdf. Placement ikitoka nikiwepo nitakuja kuwasalimia na ndugu wengine wapo Itigi, Doroto, Itagata, Ukimbu, Makale na Mitundu (hapa ndugu wapo wengi sana)
BINAFSI hyo stutus ya reserve sijawahi kuona wa kusikia ndio mara ya kwanza. Ila ninachojua TRA walikuwa na uhitaji mkubwa sna ndio maana watu
hapo kuomba Mungu tu neema yako ifunguke mikononi mwao...huwezi kuniambia data base haina watu...ukijiuliza ni kitu gani mwaka jana kilipelekea kuwaita pungufu oral na mwaka huu kuwaita wengi hupati jibu...Tuzidi kuombaHivi placement ya tra hawakuchukua data base au data base watachukua next time
Ubarikiwe na Bwana wa kuelewa washaelewa. NOT sio nzuri katika Afya ya Subira za PDFHizi inshu za not selected zipo hiyo yangu niliipata baada ya oral ya IAE. PDF ishatoka cjatoboa .. Ila tusivunjike moyo wakati wa Mungu ukifika na cc tapata asaliView attachment 2527285
Kla wakati...dakika na saa nachungulia kule kwa web kuona kama placement kuna chochote...Kusubiri placement sio poa aiseh hasa kwa ss wengine ambao hatujapata pa kujishikiza, inakata sana maini aiseh[emoji3][emoji3][emoji3] sasa ndio naelewa na dawa naiona. Mwanzoni nilikuwa siwaelewi wadau. Mtu unajitahud upotezee unashindwaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Nakuelewa sana mkuu, ujobless ni kdonda kikubwa sana sana, pisi zinakutenga, njaa na jua linawaka wazazi age inasonga basi tafarani!, Mungu atabariji na siku itafika ya kusahau yote....learn to learnt.Kla wakati...dakika na saa nachungulia kule kwa web kuona kama placement kuna chochote...
Aiseeee
Naona sehemu ya Advertisment na call for Interview Kuna matangazo mapya,, hvyo hapo kwenye placements hawawezi kupaacha hvyohvyo bila tangazo. Tusubiri jioni lazima Kuna mpidiefu hapoKla wakati...dakika na saa nachungulia kule kwa web kuona kama placement kuna chochote...
Aiseeee
Hapo kwenye pisi hapo...Nakuelewa sana mkuu, ujobless ni kdonda kikubwa sana sana, pisi zinakutenga, njaa na jua linawaka wazazi age inasonga basi tafarani!, Mungu atabariji na siku itafika ya kusahau yote....learn to learnt.
Mzee wa AEA.. Jana hujala shavu zile za TARI na Wizara ya kilimo..?Nakuelewa sana mkuu, ujobless ni kdonda kikubwa sana sana, pisi zinakutenga, njaa na jua linawaka wazazi age inasonga basi tafarani!, Mungu atabariji na siku itafika ya kusahau yote....learn to learnt.
Ukiwekeza akili mwili na roho sehemu moja,lazima ikutafune.Nakuelewa sana mkuu, ujobless ni kdonda kikubwa sana sana, pisi zinakutenga, njaa na jua linawaka wazazi age inasonga basi tafarani!, Mungu atabariji na siku itafika ya kusahau yote....learn to learnt.