HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Sijawahi kuapply post za tutorial assistant,hua zinakuaje kwa anaejua.
Written yake ni kama post zingine au? Na oral yake ipoje?
Nadhan ni masuala ya kidarasani darasani zaidi....depending on session unayoombea
 
status
  • slectected for oral in interview kwenye web
  • selected for oral interview kwenye app

Nasubiri placement. kupata au kukosa yote yanawezekana

lets pray
Mie nimeandikiwa hivyo toka mwaka 2020 na sijapata replacement, mie nadhan status ubaki nayo mwenyewe the way unavyoelewa ila kwangu mie sidhan kama inamaana yoyote,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…