HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
ni mwanangu nae kapata baada ya kumsomea mzigo amegoma kujafata barua
Nadhani anatakiwa kuchagua post iwapo tu hizo posts zake zimetoka kwa pamoja ndipo unakuwa na scale of preference lakini kama hiyo nyingine anayoikubali na kuipenda ajitoe tu ufahamu akachukue barua na labda kama nje hiyo nafasi ana chanzo kingine cha uhakika cha kipato atakuwa sahihi na atakuwa sawa tu mwajiriwa aliyefukuzwa kazi sababu ya ulevi maana majuto yake baadaye ni makubwa, kikubwa mshawishi tu akachukue hiyo barua maana hajui yajayo zaidi ya MUNGU wake.
 
Unatakiwa ujue habar ya written imeisha pale ulivoitwa kwenda oral na havina uhusiano kabisa mkuu na marks za oral
Btw oral yako ulifanya lini mpaka status ishaanza kuchange?
 
Duuh aiseh oral lkn si ilienda tu fresh maswali
 
Jamaa ako ana"""" selected for oral""" ya rangi nyekundu????

Uyuu IT uyuuuuuu, au nimeelewa vibaya.
 
Transfer sio rahisi kama inavyoongelewa hapa ni mchakato mgumu na hasa unamjua nani huko unakotaka kwenda lazima mfuko utoboke ulambishe watu asali. Ingekuwa ni rahisi kuingia TRA kutokea halmashauri basi halmashauri watu wangeisha
Kikubwa ni kuridhika tuu na taasisi utakayopangiwa
 
Usiwaze mkuu kuwa mpole, tusubirie pdf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…