HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Duuh aiseh oral lkn si ilienda tu fresh maswali
 
Inawezekana hivyo, na hii pia inaanza kutufanya tuchukue tahadhari si kukurupuka tuu kwenda kila usaili maana unaweza faulu saili zote mbili au tatu, lakini ukajikuta unaangukia taasisi ambayo ulikuwa haujaipendelea sanaa..
Hili linanzia huko utumishi, itabidi na wao warekebishe namna wanavyopanga saili na kutoa placement, haina maana yoyote kwa taasisi ya kwanza kutoa tangazobla ajira inakua ya mwisho katika kuita watu kwa usaili, hii ni changamoto. Tangazo la kazi lililotangulia, lifanyiwe mchakato kwa namna ile ile mpaka placement inatoka.
 
[emoji817][emoji817][emoji817][emoji817]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787], na kugombezwa na Mh. Diwani au M/KITI wa Sisiem Wilaya...bado wananchi wanakuzonga tuu.. bado ukiangalia hakuna safari za kikazi, ohooo hapo ni shughuli
na ukitaka kufanya job transfer kuhamia kwenye mashirika/wizara bdo mtiti . haloo halmashauri inafanya watu wa heti utumishi wa umma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…