Daaaa, Mungu atusaidie sanaa waje wabadilishe salary scale aisee.Tz unafuu wa mishahara angalau uwe mtumishi wa mashirika ya umma,huko kwingine range ni zilezile tofauti huanzia kwenye fursa zilizopo.halmashauri ndio kabisa sonona itakuua
Hatar sana,bila kujiongeza hutoboi,tena kwa nyie wanaume ndo kabisaaaaaHapo ukimcheck jama yako mliyesoma wote chuo anamiaka miwili kazini kwenye Shirika fulani lakini tayari ana miliki Forester....mziki mzito, ohooo bado ana miliki mashamba makubwa.
Hizo currently salary scale za serikaliHapo inaonyesha 1M
Hakuna swali nlilozingua, sijui kwa upande wa panel sasaDuuh aiseh oral lkn si ilienda tu fresh maswali
Ohooo, yumkini unaweza kuta kama lile la TRA....kulala kuamka mwezi wa tatu wanzoni pdf hili hapa.Kwamba kubadlika badlka kwa status mapema means keka lipo njian sio
Yeah SELECTED yake iko na rangi nyekundu ndio [emoji23] ilikua hivyo alivyokua Selected kwenda Oral tu.Jamaa ako ana"""" selected for oral""" ya rangi nyekundu????
Uyuu IT uyuuuuuu, au nimeelewa vibaya.
Hakika TGS ni njaa [emoji3]TGS D ni laki 7.1
Ukisikia kazi yako mishahara yake ni TGS jua hapo ni njaa
Mmmmh uyu rafiki yako angetuma screenshot, wengine tuione kwa mara ya kwanza.Yeah SELECTED yake iko na rangi nyekundu ndio [emoji23] ilikua hivyo alivyokua Selected kwenda Oral tu.
[emoji4], hadi huku nimechezea ndoige...au kuna database pia? Niendelee kusubiriaVijana wa BBT hao hapoView attachment 2527617
Unakimbiwa na ubavu wako ghafla..migogoro kila uchao...Hatar sana,bila kujiongeza hutoboi,tena kwa nyie wanaume ndo kabisaaaaa
[emoji38][emoji38][emoji38] nlishakubali matokeo ata kabla hayajatoka. Tuliokuwa shortlisted pia kua Dada mmoja tuliekua nae anafanya kwenye hiyo hiyo Department kwa mkataba. Yan tulivyoingia kwenye panel kutambulishwa wanne anawajua.Usiwaze mkuu kuwa mpole, tusubirie pdf
Hakuna swali nliloacha.Duuh aiseh oral lkn si ilienda tu fresh maswali
private wa jeshi elimu formfour analipwa above 700k per month, degree holder una range humo humo. sio poa kikubwa huku fursa ni nyingi hasa semina,warsha,safari na vikaoHapo ukimcheck jama yako mliyesoma wote chuo anamiaka miwili kazini kwenye Shirika fulani lakini tayari ana miliki Forester....mziki mzito, ohooo bado ana miliki mashamba makubwa.
Nafasi ngapiHakuna swali nliloacha.
Duuu, kwahiyo alipita kiulaini....sanaa?[emoji38][emoji38][emoji38] nlishakubali matokeo ata kabla hayajatoka. Tuliokuwa shortlisted pia kua Dada mmoja tuliekua nae anafanya kwenye hiyo hiyo Department kwa mkataba. Yan tulivyoingia kwenye panel kutambulishwa wanne anawajua.
YeahHii sio ile ulofanya 31/1/2023????
Wanahitaji watu wangapi kwani??[emoji38][emoji38][emoji38] nlishakubali matokeo ata kabla hayajatoka. Tuliokuwa shortlisted pia kua Dada mmoja tuliekua nae anafanya kwenye hiyo hiyo Department kwa mkataba. Yan tulivyoingia kwenye panel kutambulishwa wanne anawajua.
Uzuri jeshini wana-value sanaa professional ya mtu so huwa wanalamba mishahara miwili ndivyo nilivyosikia.. kwahiyo kama mtu ni Doctor na Captain hapo unaweza kuta anakunja hata 6Mprivate wa jeshi elimu formfour analipwa above 700k per month, degree holder una range humo humo. sio poa kikubwa huku fursa ni nyingi hasa semina,warsha,safari na vikao
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mmmmh uyu rafiki yako angetuma screenshot, wengine tuione kwa mara ya kwanza.
Kutoka TGS D laki 7.5 unatakiwa kufanya kazi miaka 5 ndipo upande daraja kwenda TGS E laki 9.9Unateseka kupata ajira na ukishapata unateseka kwenye mshahara pia..[emoji38][emoji38]