Degree vp kiongoziChai hii [emoji3]. Capt wa Jeshi analamba around 2.7m + Allowance 300k + Elimu 500k + Nyumba 600k + Vinyaji 100k plus Kozi za kijeshi inategemea lkn 6mil parefu aisee labda kwa Magenerali huko
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]chawa wa mama sio?Labda Mh. RAIS apate ubuyu kwamba utamfaa kuwa kiraka mahala fulani hapo utakuwa umeula sasa.
MOF kuna nini huko mkuu?Nafuu wizarani lkn mfano km MOF
🤣🤣🤣🤣🤣[emoji4], hadi huku nimechezea ndoige...au kuna database pia? Niendelee kusubiria
Hapo chief ni ngumu hawawezi hacha mtu waliyekuwa wanafanya nae kazi kawachukua mtu mwingine labda angefeli writtenNa hapo hapo kuna Binti ameajiriwa kwenye hiyo Department na tumepambana nae kwenye Oral [emoji3]
Shubamitiiii....hii bongo haipo fair yaani hapo mtu ndo anaanza.CPA T wa EWURA analipwa 3.8M
Kabisa chief, maisha ni magumu sana ukiwa huna mishe yoyoteSure tutahama ukouko, maana mtaani sio poa. Ukiwa jobless utamuelewa
Jamani kazi ni hizi hizi na mishahara haijawahi kutosha duniani kote hata kama utalipwa Mil5 sasa hivi..Tz unafuu wa mishahara angalau uwe mtumishi wa mashirika ya umma,huko kwingine range ni zilezile tofauti huanzia kwenye fursa zilizopo.halmashauri ndio kabisa sonona itakuua
Ushauri mzur sana,barikiwa mkuuJamani kazi ni hizi hizi na mishahara haijawahi kutosha duniani kote hata kama utalipwa Mil5 sasa hivi..
Niko kwenye Wakala moja ya Serikali ingawaje hapa sisi kazi zetu ni za mikataba na tunarenew kila baada ya miaka miwili..
Mshahara na marupurupu ya hapa na pale si haba ingawaje mara ya kwanza ukipewa ile contract inaona kazi si ndo hii, lakini unapoanza kulipwa ule mshahara utaona kuwa hauwezi kutosha kwa maisha ya sasa halafu mbaya zaidi kwa Familia zetu hizi Extended family na ikiwa ww ndo atleast umetoboa huwezi kuishi kwa mshahara..
Kikubwa ndugu zangu Mungu akijaalia mpatapo mrija wa Asali pia ni muhimu kuzingatia namna ya kujiongezea kipato kwa sababu pia maandiko yanasema "Binadamu hatoishi kwa mkate tu"..
Naamin Mwenyezi Mungu kampangia kila mtu wapi atapata mrija wake wa asali, haiwezekani wote tukaenda sehemu moja hivyo basi hata kama utapangiwa Halmashauri kamwe usije ukakosa kwenda kuna watu wanafanya mambo makubwa na huwezi kudhani anafanya kazi halmashauri.
Naam! Umemaliza yote chiefJamani kazi ni hizi hizi na mishahara haijawahi kutosha duniani kote hata kama utalipwa Mil5 sasa hivi..
Niko kwenye Wakala moja ya Serikali ingawaje hapa sisi kazi zetu ni za mikataba na tunarenew kila baada ya miaka miwili..
Mshahara na marupurupu ya hapa na pale si haba ingawaje mara ya kwanza ukipewa ile contract inaona kazi si ndo hii, lakini unapoanza kulipwa ule mshahara utaona kuwa hauwezi kutosha kwa maisha ya sasa halafu mbaya zaidi kwa Familia zetu hizi Extended family na ikiwa ww ndo atleast umetoboa huwezi kuishi kwa mshahara..
Kikubwa ndugu zangu Mungu akijaalia mpatapo mrija wa Asali pia ni muhimu kuzingatia namna ya kujiongezea kipato kwa sababu pia maandiko yanasema "Binadamu hatoishi kwa mkate tu"..
Naamin Mwenyezi Mungu kampangia kila mtu wapi atapata mrija wake wa asali, haiwezekani wote tukaenda sehemu moja hivyo basi hata kama utapangiwa Halmashauri kamwe usije ukakosa kwenda kuna watu wanafanya mambo makubwa na huwezi kudhani anafanya kazi halmashauri.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]watu wanaishiMOF kuna nini huko mkuu?
FactJamani kazi ni hizi hizi na mishahara haijawahi kutosha duniani kote hata kama utalipwa Mil5 sasa hivi..
Niko kwenye Wakala moja ya Serikali ingawaje hapa sisi kazi zetu ni za mikataba na tunarenew kila baada ya miaka miwili..
Mshahara na marupurupu ya hapa na pale si haba ingawaje mara ya kwanza ukipewa ile contract inaona kazi si ndo hii, lakini unapoanza kulipwa ule mshahara utaona kuwa hauwezi kutosha kwa maisha ya sasa halafu mbaya zaidi kwa Familia zetu hizi Extended family na ikiwa ww ndo atleast umetoboa huwezi kuishi kwa mshahara..
Kikubwa ndugu zangu Mungu akijaalia mpatapo mrija wa Asali pia ni muhimu kuzingatia namna ya kujiongezea kipato kwa sababu pia maandiko yanasema "Binadamu hatoishi kwa mkate tu"..
Naamin Mwenyezi Mungu kampangia kila mtu wapi atapata mrija wake wa asali, haiwezekani wote tukaenda sehemu moja hivyo basi hata kama utapangiwa Halmashauri kamwe usije ukakosa kwenda kuna watu wanafanya mambo makubwa na huwezi kudhani anafanya kazi halmashauri.
Marupu rupu yapo pote ila sijajua nani anamzidi mwingineTMDA na NAOT wapi sio haba boss?
Hiyo ni Basic?(kabla ya makato)salary nasikia ni approximately 1.2 M
posho za safari ndio kabisaa. but kikubwa kuipenda kazi yako
Degree inalipiwa 300k. Kuna Private wanadegree hapo watalipa hela ya Private plus hiyo 300k ya ElimuDegree vp kiongozi
Sijamaanisha inaweza kuwa hiyo figure exactly nimetoa tuu figure kuonyesha ukubwa najua inaweza kuwa pungufu kidogo au zaidi ya hapo pengine mimi sijui lakini kuna watu watakuwa wanafahamu zaidi. Ninachokifahamu niliambiwa huwa wanapokea salary mbili kama mtu ana-profession.milioni 6 huo uongo,
Nasisitiza tena ukipata chaka ww zama usiangalie habari ya mshahara! Mshahara hujawahi kutosha duniani..private wa jeshi elimu formfour analipwa above 700k per month, degree holder una range humo humo. sio poa kikubwa huku fursa ni nyingi hasa semina,warsha,safari na vikao
[emoji1787][emoji1787][emoji1787], usiwe serious sanaa mkuu, nimetaja tuu figure..sijuagi hata salary zao nilibuni tuu.Chai hii [emoji3]. Capt wa Jeshi analamba around 2.7m + Allowance 300k + Elimu 500k + Nyumba 600k + Vinyaji 100k plus Kozi za kijeshi inategemea lkn 6mil parefu aisee labda kwa Magenerali huko
Kama hakuna marupurupu basi una haki ya kusema ni njaa.TGS D ni laki 7.1
Ukisikia kazi yako mishahara yake ni TGS jua hapo ni njaa