@Mwifwa hakuwai kua muumin wa status,sidhan kama ana majibu sahihi mana sidhan kama hata amewahi fatlia status zake.Lakini mbona wakali wa hizi kazi ,wanasemaga status zao Huwa Zina badilika na wanapata mbeleni kwenye placement .mwite Mwifa akupe Darasa...
[emoji3][emoji3][emoji3]DuhOhooo, hivyo ni vipindi muhimu unahonga kabisa ili uwemo...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuwa na amani mkuu.Wee ndo nimekupata sasa,mimi ngoja nisubirie Pdf aisee...nitaleta mrejesho.
Hakika Mungu ni mkuu.Nitakuja na mrejesho hapa baada ya PDF kutoka.Ujue we ni mtu wa pili humu,status kuchange kwa mda mfup sana,anyways me nakushaur sala sana Mungu anakuaga na miujiza yake isiyoelezeka. Just keep praying for positive results.
Yaah pia Advantages ya hawa walimu wa chuo pia nadhani wana muda mwingi sana, so kama ni mtu wa mishemishe anaweza kupiga mishe nyingi sana nje na muda wa kazi!Duuuh hapo kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake, yaluobakia ni kujiongeza provided kwamba wote mnakopesheka[emoji3][emoji3][emoji3]
Mkuu kuandika na kuongea ni vitu viwili tofauti.Wadau swala la status ntaleta mrejesho maana kwangu imebadilika from SELECTED FOR ORAL to NOT SELECTED FOR Oral. Kama ntakosa means kweli. Na kuna jamaa angu yeye still ipo SELECTED FOR ORAL lakini ya rangi Nyekundu. Hapa ndipo hawa jamaa wa Sekretarieti ya Ajira ndipo wanapotuvuruga
NB. Kwenye Written mimi ndio nliongoza na huyo jamaa yangu alikuwa wa Mwisho katika tuliokuwa Selected.
Aiseee mm nlijibj maswal yote,hadi nisoyoyajua kuna mda nkawa nafkria points mpaka madam akawa anasema umebakiza dkk chache try to be fast. Af sasa najib kwa kujiamin[emoji1787][emoji1787]moyon najua kipengele hiki sjakisoma kbsa.Saa kama swali ulijui unajibu nini? Au ujibu OP?[emoji23][emoji23][emoji23]
Duu, hivi hao jamaa wa WMA mbona sijawahi ona post zao za kazi zikitangazwa? Na ni kweli wapo njema maana nilienda mahali nikaona ofisi zao duuu...hao wanaweza karibiana na TRA.Cha msingi ni kutoacha kuomba hata kama kazi ni ya miezi mitatu! Huwezi jua na bahati nzuri mm nina mifano hai.
Kuna mwana yuko WMA na mikataba yao ni ya mwaka mmoja yy yuko border ila sitosema ni border gani ila yuko njema unaweza dhani ana miaka 10 kazini[emoji28]
TRA sina hakika nasikia custom officer ni 2.3 hpo bdo benefits zingine mzeeAhaaa kumbe, hapo nimepata mwanga kumbe hakuna tofauti sanaa na atakayepangwa hapo TRA au TAWIRI?[emoji4]
Mpaka mara ya mwsho nachek hakuna mabadliko.Kwako Madam kuna mabadiliko yoyote kwenye status?
Humu mimi nimeanza nao mwanzo kabisa wa huu Uzi ,issue kama hizi zipo humu kama utafatilia vyema Uzi huu utakuna na hizi mambo za kubadilika status...@Mwifwa hakuwai kua muumin wa status,sidhan kama ana majibu sahihi mana sidhan kama hata amewahi fatlia status zake.
Tuendelee kuombeana Mkuu, Mungu ni mwema sanaHakika Mungu ni mkuu.Nitakuja na mrejesho hapa baada ya PDF kutoka.
Yes...Mkuu ulifanya za MDA?
Amen...Tuendelee kuombeana Mkuu, Mungu ni mwema sana
Ohoooo , nilimuona mwamba mmoja private mwaka 2015 kule rwamkoma alikuwa ni private alikuwa na ndinga kaliiii. Kumbe jamaa aliendaga mission.Plus wakipata mission za kwenda kulinda Amani huko nchi zingine ukibahatika kurudi salama basi unaweza kuta umetengeneza kibunda cha maana maana kule ni dollary tu
Yes issue hizo zipo bt Mwifa sidhan kama alikua anacheck status zake, wacha akija atasemaHumu mimi nimeanza nao mwanzo kabisa wa huu Uzi ,issue kama hizi zipo humu kama utafatilia vyema Uzi huu utakuna na hizi mambo za kubadilika status...
Acha uoga ,pitia angalia angalia...Mpaka mara ya mwsho nachek hakuna mabadliko.
Right now sifatlii tena na app nmefuta,nasubr pdf tu
Kuna kitu nilitaka kuandika ila nkasita..ngoja nituliePlus wakipata mission za kwenda kulinda Amani huko nchi zingine ukibahatika kurudi salama basi unaweza kuta umetengeneza kibunda cha maana maana kule ni dollary tu
I'm not alone kumbe, tuombeane kheri Madam aisee. Make mle ndani kunakuwaga na mambo mengi sanaAiseee mm nlijibj maswal yote,hadi nisoyoyajua kuna mda nkawa nafkria points mpaka madam akawa anasema umebakiza dkk chache try to be fast. Af sasa najib kwa kujiamin[emoji1787][emoji1787]moyon najua kipengele hiki sjakisoma kbsa.
Namuomba Mungu anitendee maajabu nifaulu regardless ya nlichojibu.