billionea alpha
JF-Expert Member
- Apr 10, 2014
- 1,496
- 1,760
Mwifa anashindaga humu,Kwa kifupi ni mlinzi wa huu. Uzi so matukio yote anajua,akija atatupa abc za hii kitu.Yes issue hizo zipo bt Mwifa sidhan kama alikua anacheck status zake, wacha akija atasema
Sasa ukiulizwa kitu na huna idea nacho kabisa au umesahau utafanyeje zaidi ya kutoa machoHiv kuna watu wanaacha kabisa kujibu baadh ya maswali oral??? How???
Kwani ili ufahuru usahili wa mahojiano lazima ujibu maswali yote??
Me sioni haja ya kufuta App hata status ichange vipi najua kama Mungu amepanga nipate nitapata tuMpaka mara ya mwsho nachek hakuna mabadliko.
Right now sifatlii tena na app nmefuta,nasubr pdf tu
Siogop chochote mkuu,sina sababu hyo coz nmeshajipanga kama nikipata kheri,nspopata najua nafanya nini. The more unavozd kufatlia status plus ukija na humu slowly unaanza kua obsessed to which its not healthy mentally.Acha uoga ,pitia angalia angalia...
[emoji23][emoji23][emoji23]Sasa ukiulizwa kitu na huna idea nacho kabisa au umesahau utafanyeje zaidi ya kutoa macho
Sema kwenye oral kama hujui kitu bora uwaambie tu kuliko kuwadanganya tena kwa kuforce[emoji3][emoji3][emoji3]
Sawa mkuuMwifa anashindaga humu,Kwa kifupi ni mlinzi wa huu. Uzi so matukio yote anajua,akija atatupa abc za hii kitu.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mkuu neno ufahuru ndo nini?
treasury/hazina wanaajiri kuna mwamangu yuko huko,ila wali wa recruit vyuoni ,mwamba ana GPA kali sna(agro economics) mshahara kidogo. marupu rupu yakufa mtuuItakuwa wana rotate wale, nafikir labda tujuzwe na wajuzi
Ni kweli kabisa, niliposoma mimi kuna wengine walikuwa wakija venue hatumii lisaa likaisha anakuambieni mimi siyo mwalimu ni mhadhiri mkajitafutie wenyewe na kusoma wenyewe.[emoji1787][emoji1787]. Huyo unakuta ni Full Professor..anatoka zake venueYaah pia Advantages ya hawa walimu wa chuo pia nadhani wana muda mwingi sana, so kama ni mtu wa mishemishe anaweza kupiga mishe nyingi sana nje na muda wa kazi!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]sasa madam alivokua anasema try to be fast as if mm swali nalijua nishuke tu kama nshalimeza chaaa[emoji849][emoji849][emoji849]I'm not alone kumbe, tuombeane kheri Madam aisee. Make mle ndani kunakuwaga na mambo mengi sana
Mnoo Mungu asimame nasi, ili tufike asalini salamaI'm not alone kumbe, tuombeane kheri Madam aisee. Make mle ndani kunakuwaga na mambo mengi sana
Unaweza kudata ,ukisikiliza Wana wa humu Ndani...Siogop chochote mkuu,sina sababu hyo coz nmeshajipanga kama nikipata kheri,nspopata najua nafanya nn.
The more unavozd kufatlia status plus ukija na humu slowly unaanza kua obsessed to which its not healthy mentally.
Pia nmeamua tu kusali sana na kumtegemea Mungu matokeo yaje positive.
Naamini Mungu atasaidi tutapata tu![emoji1787][emoji1787][emoji1787]sasa madam alivokua anasema try to be fast as if mm swali nalijua nishuke tu kama nshalimeza chaaa[emoji849][emoji849][emoji849]
Mkuu wala usjali,kama ni wakati wetu hakuna wa kuzuia Mungu akisema YES.
Tuzid kuombeana,ntafrahi tukipata sote
Yes,hili game tunamwachia Mungu.Ikiwa ulifika oral basi anajua yeye atafanya nini.juu Yako...Me sioni haja ya kufuta App hata status ichange vipi najua kama Mungu amepanga nipate nitapata tu
Mungu ni mwema, tuendelee kumtumani yeyeYes...
Amina[emoji120]Mnoo Mungu asimame nasi, ili tufike asalini salama
Aiseeee hapana kabisa siwez kusema et sjui,mradi naelewa "kidhungu" natunga points chaaap kama nlivofanya written.Sasa ukiulizwa kitu na huna idea nacho kabisa au umesahau utafanyeje zaidi ya kutoa macho
Sema kwenye oral kama hujui kitu bora uwaambie tu kuliko kuwadanganya tena kwa kuforce[emoji3][emoji3][emoji3]