No, sio option ya kuacha swali, hakuna anayependa kuacha swali, hakupi nafasi ya kufikiria na kuanza kushuka, anakuvusha kwa swali linalofuata.Noma sana,sikujua kumbe kuna wengne wanapewa option kbsa anaweza acha swali.
Wengine tulikomaliwa tujibu yote tena anafanya kukuhesabia umetaja point tatu bado mbili malizia,hapo utakuna had nyusi uzitaje zote tano[emoji855].
Ndo mana nikashangaa unaachaje maswali,kumbe pannel ni watu na watu ni binadam hutofautiana asee.
Ah we kuna wengine wanapondea tu ukute hata ndugu zao hyo scale ya TGS D wanaitafuta kitaa na hawapati.Kuna mtu huko juu anatutishaa kabisa kuwa "" hatuta toboaa"" achaa tu.
wakati tunajiandaa na oral ya NIRC kuna mwamba mmoja anadai washaki zake wawili walifanya transfer ya kuhamia NIRC ,hii ikanifikirisha sana imekuaje kuaje mtu aihame autonomous agency kwenda TGS D kwelii? jamaa akadai NIRC projects na safari ni deiliiAsee kiongozi umenishtua moyo hapa. Kumbe ASA napo sio habaa? Design kama napachukulia kama taasisi ya kawaida!
Anhaaa dah[emoji855]No, sio option ya kuacha swali, hakuna anayependa kuacha swali, hakupi nafasi ya kufikiria na kuanza kushuka, anakuvusha kwa swali linalofuata.
Hao wa kukuhesabia na kukuhimiza ujibu, ni wazuri, wanakupa nafasi zaidi.
Hapo anakua ameshakupoteza na kukutoa nje ya chaki.
Mwamba nimefurahi sana kuzungumzia Tume yangu pendwa NiRC....hasa hapo mwishoni....DEILII🤣🤣wakati tunajiandaa na oral ya NIRC kuna mwamba mmoja anadai washaki zake wawili walifanya transfer ya kuhamia NIRC ,hii ikanifikirisha sana imekuaje kuaje mtu aihame autonomous agency kwenda TGS D kwelii? jamaa akadai NIRC projects na safari ni deilii
Ndio ni mashirika ya umma mkuu.Vyuo vikiwa mojawapo ya mashirika ya umma eee??
Mimi focus yangu ni kuingia kwenye system kwanza, issue za mishahara nitajua uko mbeleAh we kuna wengine wanapondea tu ukute hata ndugu zao hyo scale ya TGS D wanaitafuta kitaa na hawapati.
Focus ya kwanza ni kuingia kwenye system then mengine yatarekebishika baadae,we are taking baby steps,tutafika tu pale juu tunapopataka
Huu sio mtazamo sahihi sana, fanya tafiti na kuwa na taarifa sahihi za kutosha ili uweze kukubaliana na uhalisia na mazingira ya kazi awali kabisa.Mimi focus yangu ni kuingia kwenye system kwanza, issue za mishahara nitajua uko mbele
Me nilikomaliwa swali moja hivi baada ya kijibu point 3,,nikawaambia can you skip this question I will back again,wakasema sawa..baadae nikajibu.Noma sana,sikujua kumbe kuna wengne wanapewa option kbsa anaweza acha swali.
Wengine tulikomaliwa tujibu yote tena anafanya kukuhesabia umetaja point tatu bado mbili malizia,hapo utakuna had nyusi uzitaje zote tano[emoji855].
Ndo mana nikashangaa unaachaje maswali,kumbe pannel ni watu na watu ni binadam hutofautiana asee.
Namna hyo,safiiiiMimi focus yangu ni kuingia kwenye system kwanza, issue za mishahara nitajua uko mbele
Noma sanaMe nilikomaliwa swali moja hivi baada ya kijibu point 3,,nikawaambia can you skip this question I will back again,wakasema sawa..baadae nikajibu.
Wana miradi mingi ya umwagiliaj so trips za field ni kawaida kwao.wakati tunajiandaa na oral ya NIRC kuna mwamba mmoja anadai washaki zake wawili walifanya transfer ya kuhamia NIRC ,hii ikanifikirisha sana imekuaje kuaje mtu aihame autonomous agency kwenda TGS D kwelii? jamaa akadai NIRC projects na safari ni deilii
PUTS Ni kwa wale academian..mfano tutorial assistant, assistant lecture, lecture na prof..Ndo tutofautishie
PUSS 1.1
Na
PUTS 1.1
ni kuanzia kama ngap?
Kwenye hizi hizi sahili za LGA kuna watu watapangiwa halmashauri za ndani ndani huko, na hawataenda. Katika maisha kila mtu yuko na misimamo yake.Tunawaza mshahara sijui TGS etc kazi yenyewe bado hatujapata,isitoshe tunaona TGS ni ndogo..hiyo ndogo kwenye harakati za msoto mtaani inapatikana!🙄
hahahaa , kiboko yao TARI mkuuMwamba nimefurahi sana kuzungumzia Tume yangu pendwa NiRC....hasa hapo mwishoni....DEILII🤣🤣
Sio habayaah,niliambiwa hvo mkuu
Mishahara ya vyuo iko hiviNdo tutofautishie
PUSS 1.1
Na
PUTS 1.1
ni kuanzia kama ngap?