Balozi limited
JF-Expert Member
- Jun 6, 2022
- 989
- 2,570
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Hivi TCRA wanaupiga mwingi bila shaka, kuna wazee wale wa TASAF, TASAC, TEMESA, NEMC, OSHA, TRC bila shaka hawa viumbe wanaumwaga mwingi sana aisehHata TPA mkuu wanaogelea kwenye Mzinga wa Asali. Karani tu anasumbua
sema nn mkuu,tutatusuaNiliziona kk, nikabaki kuzizoom tu[emoji3][emoji3]
Niliwahi kukutana na dereva tu wa OSHA , Nikagundua the same countety but the different world. Daah any way tupambane one day yes[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Hivi TCRA wanaupiga mwingi bila shaka, kuna wazee wale wa TASAF, TASAC, TEMESA, NEMC, OSHA, TRC bila shaka hawa viumbe wanaumwaga mwingi sana aiseh
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Hivi TCRA wanaupiga mwingi bila shaka, kuna wazee wale wa TASAF, TASAC, TEMESA, NEMC, OSHA, TRC bila shaka hawa viumbe wanaumwaga mwingi sana aiseh
Kabisa kaka, Mungu ni mwema naamini our day is comingsema nn mkuu,tutatusua
DuhEngineer, IT, finance officer, economics, various itategemea na uhitaji ukiguswa umeula koxi yako, ila kutoboa sasa written mnaweza kuwa hata watu elfu7[emoji3][emoji3][emoji3]
Naona mikando ya written imeadimika sana saivi kwahiyo vijana hawako bize, isipikuwa wanasubiri kuoata received, placements na mishahara baada ya kuvurugwa na statusMmetoa wapi hako kajeuri ka kudiscuss unjaa wa job posts [emoji16]
hahaaaaMmetoa wapi hako kajeuri ka kudiscuss unjaa wa job posts [emoji16]
[emoji23][emoji23] Mimi dereva wa TASAF amenifanya nije kusoma kozi ya VIP Driving na kuona hakuna maana ya Degree. Nipo NIT namalizia Week ya mwisho hapa. Labda tujaribu kulamba kwa kupitia mlango wa nyuma.Niliwahi kukutana na dereva tu wa OSHA , Nikagundua the same countety but the different world. Daah any way tupambane one day yes
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Jicho lako linaona km mm,[emoji23][emoji23] Mimi dereva wa TASAF amenifanya nije kusoma kozi ya VIP Driving na kuona hakuna maana ya Degree. Nipo NIT namalizia Week ya mwisho hapa. Labda tujaribu kulamba kwa kupitia mlango wa nyuma.
Lazima utembee maana wasaka mirija kutwa tunashinda huku kuulizia Placement [emoji23]. Sijui wale walifail kufika Oral nao wana uzi wao [emoji848]Uzi unaenda huu
Inaumiza sana Dereva wa kusoma miezi kadhaa tu anaweza lipa Degree holder watatu wa TGS [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Jicho lako linaona km mm,
Wanapata madini pia ili received zitakuja tu soon uko mbele, unaandaa nguvu na moyo kuikabili written pale auditoriumLazima utembee maana wasaka mirija kutwa tunashinda huku kuulizia Placement [emoji23]. Sijui wale walifail kufika Oral nao wana uzi wao [emoji848]
Saana kk, kwanza hata gari zao tu unagundua humu si mchezo mchezo. Ndio hivyo wengine tuna degree portal na life hiyo no way wacha tupambane tutakapojaaliwa tuishi humohumo kwa kujiongeza kivingine na vingineInaumiza sana Dereva wa kusoma miezi kadhaa tu anaweza lipa Degree holder watatu wa TGS [emoji3][emoji3][emoji3]
Watatema kesho cha WeekendWadau mida ya placements hii au vp
Leo alhamissWadau mida ya placements hii au vp
Hivi tukitabiri kwa chapchap ni kidf gani chajaWatatema kesho cha Weekend