Kuna muda ni vizuri zaidi kupokea Ukweli utaokuumiza maana baadae itakuwa na manufaa dhidi yako.Humu comment kama hizi hazitakiwi mkuu, wanasema mnakatisha watu tamaa.
Anyway, kama ulivyosema, "always, Not ni Not tu". Hilo nalo wakalitazame.
mkuu umeuliza kwa msisitizo hadi nmecheka kwel😂😂😂😂😂😂Nmewauliza
PUSS 1.1 ndo sh ngap hii??
Public University Salary scale
[emoji1787][emoji1787][emoji1787], usishtuke sanaa lakini si unaona wenzake hapo waliopo kundi moja, kuna TCRA, TANAPA, TPA, TBA, TRA, WMA, TMDA, TWMA, TAWA, n.k na wengineo kama hao. Staffs wa hizi agencies na authorities wapo njema sana.Asee kiongozi umenishtua moyo hapa. Kumbe ASA napo sio habaa? Design kama napachukulia kama taasisi ya kawaida!
Ni mkweli mkuu si sawa na halmashauri kule kwenye TGS..... hapo ni kisangaHata mashirika ya Umma si haba wanakunja parefu..
Yap.Vyuo vikiwa mojawapo ya mashirika ya umma eee??
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], usijali mkuu kikubwa tuu ni upo kwenye mrija.Tumisha juaa taasis zenu wanalipa vizur, wengine tunasubir post za halmashauri, achaneni na mada za mishahara.
Ni kweli kabisa...ukishaona taasis ni parastatal basi ujue kuna uhaueni pia.Hizi taasisi zinazojitegemea zina viwango vyao vya mishahara ambavyo viko approved na Serikali kuu ndo maana utaona mishahara inatofautiana kati ya watumishi wa Serikali kuu/Serikali za Mitaa na Taasisi za serikali zinazojitegemea.
Ohooo, usijali mkuu one day utashangaa umeshapata mrija wa moja kwa moja.Popote kambi Mkuu, Mm hata ningepata kazi halmashauri ningeenda hizi pressure pressure za kurenew mkataba sio kabisa..
Usijali mkuu mbona kule napo kuna mapande mengi tuu.Hata mm siwez acha kwenda, likija swala la mishahara vijana wako wa halmashaur tunakua wanyonge sana [emoji26][emoji26][emoji26] iii mada ya mishahara tunakosa hata nguvu ya ku comment.
sahihi afsawatumishi wa wizarani wote mishahara yao ni TGS isipokua taasisi za umma, mashirika ya umma, wakala za serikali, mamlaka za serikali wao wana scale zao
sema lkn wizarani wana safari sana kwaio posho zinapunguza ukali wa maisha kwa kias kikubwa sana
lkn maisha ni kujipanga tu na sio mshahara ingawa kiukwel usawa hapo haupo fani moja level ya elimu moja halafu mnapishana mishahara hilo serikali walitathimini sana kwa siku za baadae
Kwa NIRC kuwa na projects na safari nyingi ni kweli si unaona hata huu mradi wa BBT kwa sehemu kubwa NIRC wanahusika.wakati tunajiandaa na oral ya NIRC kuna mwamba mmoja anadai washaki zake wawili walifanya transfer ya kuhamia NIRC ,hii ikanifikirisha sana imekuaje kuaje mtu aihame autonomous agency kwenda TGS D kwelii? jamaa akadai NIRC projects na safari ni deilii
Tofauti hizi ni matokeo ya devolution & privitization, ili kuleta tija kwenye utoaji huduma. Agencies zilipewa uhuru wa kutengeneza faida na kujilipa. Ukiangalia nature ya agencies hizo utaona nature ya hudum wanazotoa zinahitaji ubunifu na ushindani.watumishi wa wizarani wote mishahara yao ni TGS isipokua taasisi za umma, mashirika ya umma, wakala za serikali, mamlaka za serikali wao wana scale zao
sema lkn wizarani wana safari sana kwaio posho zinapunguza ukali wa maisha kwa kias kikubwa sana
lkn maisha ni kujipanga tu na sio mshahara ingawa kiukwel usawa hapo haupo fani moja level ya elimu moja halafu mnapishana mishahara hilo serikali walitathimini sana kwa siku za baadae
Kuna taasisi fulani iliwahi kutangaza post ikaweka hiyo scale ya PGSS lakini haikuwa chuo kikuu wala chuo cha kati.Mishahara ya vyuo iko hivi
PUTS= Wanaofundisha tu(TA. lecturers, Proffesors)
PUSS= Wataalamu wa maabara(Technician, Scientist)
PGSS= Watumishi wengine(warden, admission, wahasibu, HR e.t.c)
yaah mkuuKwa NIRC kuwa na projects na safari nyingi ni kweli si unaona hata huu mradi wa BBT kwa sehemu kubwa NIRC wanahusika.
kaka humu tupo fani tofauti tofauti sasa mtu wa sheria anawezaje kumuliza mtu wa it au wa geotechnical anamuulizaje mtu wa taxes labda fungua uzi wa ufanisi wa kazi tuanze kuulizana fani zetu kwanza kabla ya kuchangiaNaona leo mada ni mshahara,posho na other incetives, ila ufanisi wa kazi hatuulizii,yani wabongo tabia zetu tunajijua wenyewe
Ohooo, mkuu usikate tamaa. Kumbe wewe ulishaingiaga kwenye Pipa la asali muda mrefu tuu.Mimi nilikuwa kama wewe ila sasa hivi mwaka wa 9 halmashauri salary haijafika 1M. Vijana wa TRA wanaojiriwa juzi wanaanza na 2.3M na wote tuna degree moja. Sasa hivi nipo napamba na interview na vijana niondoke shimoni
nimekusoma generalkaka humu tupo fani tofauti tofauti sasa mtu wa sheria anawezaje kumuliza mtu wa it au wa geotechnical anamuulizaje mtu wa taxes labda fungua uzi wa ufanisi wa kazi tuanze kuulizana fani zetu kwanza kabla ya kuchangia
af pia mtu mwingine hajabahatika kupata kazi huo ufanisi wa kazi anauelezeaje?🤣🤣🤣🤣
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], hapana chezea yani miaka 9, hajaigusa just 1M wakati kijana aliyetoka kuchukua barua hivi majuzi tuu wiki chache zijazo anaenda kupokea 2.3M. Mwache mwamba apambane tuu. Nimecheka sanaAlooo itabd nkasomee taxation hata course fupi huko mbelen nami nijifue kupata "tiyaraeyi"[emoji28]
mkuu hata wizara ya fedha MOF ni mwendo wa TGS, ila posho za kufa mtuu, so usiogope mkuuUkiacha status ya NOT SELECTED FOR Oral interview kitu kingine kinachoenda kupoteza mvuto mbele ya was wasaka mirija ni salary scale za TIJIES🤣🤣