[emoji3][emoji3][emoji3], daaah mwamba unazidi kututisha ujue....mtu ikitokea amepangwa halmashauri kutokea database anaweza kujikausha aisee... upo halmashauri za mjini au kijijini?Mimi mkongwe ajira 2014, nikakutana na uhakiki wa Magufuli 2016 vyeo vikasimama kwa miaka 2-3.
Sasa naomba kazi taasisi kubwa tu nani anataka kula nyasi maisha yote.
Ambao hatujaingia huko yaaan tupo radhi hata tule TGS B..Mimi mkongwe ajira 2014, nikakutana na uhakiki wa Magufuli 2016 vyeo vikasimama kwa miaka 2-3.
Sasa naomba kazi taasisi kubwa tu nani anataka kula nyasi maisha yote.
Mkuu Halmashauri zote hazina tofauti regardless ni mji au wilaya,, hizi za mji zinawekwa ili kupunguza mzigo kwa Halmashauri za wilaya[emoji3][emoji3][emoji3], daaah mwamba unazidi kututisha ujue....mtu ikitokea amepangwa halmashauri kutokea database anaweza kujikausha aisee... upo halmashauri za mjini au kijijini?
Mwifwa kanifunza ni marufuku kukata tamaa, alikuwa akielezea jinsi saili za utumishi humu zilivyomkanda, hatimae sasa kawakanda wao, hakuna kisichowezekana chini ya jua, cha msingi ni juhudi na kumtumaini Mungu ili juhudi zako zizae matunda.Yupo kwa ukaguzi kumbe....
Doooh mrija wa asali ndo huo sasa
Yaaaan[emoji3][emoji3][emoji3], daaah mwamba unazidi kututisha ujue....mtu ikitokea amepangwa halmashauri kutokea database anaweza kujikausha aisee... upo halmashauri za mjini au kijijini?
Noted,,,Mwifwa kanifunza ni marufuku kukata tamaa, alikuwa akielezea jinsi saili za utumishi humu zilivyomkanda, hatimae sasa kawakanda wao, hakuna kisichowezekana chini ya jua, cha msingi ni juhudi na kumtumaini Mungu ili juhudi zako zizae matunda.
TGS D 2014, ilikuwa laki 5.3 wakiingiza makato PAYE,PSPF,NHIF,TALGWU, HESLB umeisha inabaki nauli ya kazini tu.[emoji3][emoji3][emoji3], daaah mwamba unazidi kututisha ujue....mtu ikitokea amepangwa halmashauri kutokea database anaweza kujikausha aisee... upo halmashauri za mjini au kijijini?
Kivipi mkuuπNoted,,,
Weka kwanza status yako mkuu tuone acha porojoπ
By the way bora wapi sasaMkuu Halmashauri zote hazina tofauti regardless ni mji au wilaya,, hizi za mji zinawekwa ili kupunguza mzigo kwa Halmashauri za wilaya
Daaah sure kabisa, ujobless asikwambie mtu, na pia baada ya muda si unaweza kuwa unaomba kazi psrs as usual, unajipanga na majeshi vzr huku ukiwa una uhakika wa kula na nauli, unawakanda tu na unaingia utakapopatakaYaaaan
Sema kwa hali ilivyo wa kukausha sio wengi kihivyo...nani ana ubavu wa apangiwe na akaushe unless awe tyr ana mrija wake wa asali unatiririsha ila upo na maisha ya kuunga unga halmashauri iwe kijjn au mjini...bondeni au mlimani...kukame au kwenye baridi utaenda tu[emoji3][emoji3][emoji3]
Kwa Hali hii vijana wakipata Huko kwenye Taasisi lazima waringe.TGS D 2014, ilikuwa laki 5.3 wakiingiza makato PAYE,PSPF,NHIF,TALGWU, HESLB umeisha inabaki nauli ya kazini tu.
Mfano kama hyo TGS D ilikuwa lak 5.3 mwaka 2014TGS D 2014, ilikuwa laki 5.3 wakiingiza makato PAYE,PSPF,NHIF,TALGWU, HESLB umeisha inabaki nauli ya kazini tu.
Kumbe wewe ni WA juzi tu.. Kaa pembeni kwanza, hebu tuwapishe Akina mazaga one wa November Hadi Leo wanasugua nyayo tuππKivipi mkuuπ
Kiufupi na mie miongoni tunaosubiria pipa la asali oral nimepiga trh 2 mwezi huu
Doooh wakikufanyia wanachotufanyia wa Nov 28....subiri tu June[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kivipi mkuu[emoji23]
Kiufupi na mie miongoni tunaosubiria pipa la asali oral nimepiga trh 2 mwezi huu
Haya mambo salary yatawakatisha tamaa asee taasisi za serikali zimetofautiana sana utafikiri ni nchi rofauti[emoji1][emoji1][emoji1], vijana tulikuwa kwenye mjadala mpya na mzito kabisa kuhusiana na Salary scales kwa taasisi tofauti tofauti za JMT...Hii imekuja baada ya vijana kuona mjadala wa Status hauweleki...Karibu mkuu.
Hadi mbunye inakushinda uspokuwa makin kwa ujobless huu tunaopitia mamaeeeeDaaah sure kabisa, ujobless asikwambie mtu, na pia baada ya muda si unaweza kuwa unaomba kazi psrs as usual, unajipanga na majeshi vzr huku ukiwa una uhakika wa kula na nauli, unawakanda tu na unaingia utakapopataka
Boss kubwa haitegemei hiyo kwa utumishi ππKumbe wewe ni WA juzi tu.. Kaa pembeni kwanza, hebu tuwapishe Akina mazaga one wa November Hadi Leo wanasugua nyayo tuππ
Situation Is WorstHadi mbunye inakushinda uspokuwa makin kwa ujobless huu tunaopitia mamaeeee
Watakuwa hawana huruma na vijana hawa wakivifuta hvyo vibaliBoss kubwa haitegemei hiyo kwa utumishi [emoji23][emoji23]
TRA walipiga oral trh 8 jan , tarh 14 feb wameanza kulamba mrija wa asali, wamewaaacha wa November huko?
Kuna mdau mmoja anasema walopiga Nov. Vibali vyao vya ajira vimefutwa hvyo wataanza upyaaa [emoji23][emoji23]