Moment of silent
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 1,049
- 1,797
Hivi PDF la database 1700+ linatoka lini mwezi imeisha hvy. Kwanini hawashushi placement za kutosha Kama kwenye call for interview na advertisement
Hivi PDF la database 1700+ linatoka lini mwezi imeisha hvy. Kwanini hawashushi placement za kutosha Kama kwenye call for interview na advertisement
Hivi PDF la database 1700+ linatoka lini mwezi imeisha hvy. Kwanini hawashushi placement za kutosha Kama kwenye call for interview na advertisement
Wanapachikwa mmoja mmoja katika placement hizi hizi zinazoendelea kutoka, usitumai kwamba pdf la Data base litatoka pekee, soma matangazo ya placement vizuri utagundua kitu hicho.Hivi PDF la database 1700+ linatoka lini mwezi imeisha hvy. Kwanini hawashushi placement za kutosha Kama kwenye call for interview na advertisement
Mmh itawezekana kweli?? Kwasababu kuflat kwa kuongeza IT wa TANESCO afanane salary na wa TCRA ni mziki serikali haina uchumi huo......Upande wa pili kumpunguzia mtu mshahara wake ndio ngumu zaidihata TBA huwa naskia wana TGS lkn sina uhakika sana
kuna mpango naskia za chini chini watakuja wa zi flat rate zote za mishahara kwa taasisi zote kama ww ni IT wa ewura mshahara wako unakuwa sawa na IT wa tanesco
Ameen, amenHiyo sahihi kabisa, leo mkeka wa ASA unapachikwa pale kwenye vimweta mweta katika placement pale[emoji23][emoji23]
Daah hakuna furaha ya mtu kwa siku hiyo kama kuona jina lako katika sehemu ya placement, hususan ukiwa ushapigwa na jua sana la kitaa bila ya ramani yoyote.
Nawatakia mafaniko mema mlopiga oral ya ASA, wakati wa Mungu ndio wakati sahihi.
Kilichobakia ni kuombeana mema tu,maana kufanya ndio mmeshafanya.
Lakini hata wakipachikwa mmoja mmoja kwa speed hii ya kobe ya placement hawawezi fika watu 1700+ kwa mwezi huu wapiliWanapachikwa mmoja mmoja katika placement hizi hizi zinazoendelea kutoka, usitumai kwamba pdf la Data base litatoka pekee, soma matangazo ya placement vizuri utagundua kitu hicho.
Sahau Magu Alijaribu Akashindwa Kinachowezekan n Kuwapandisha w TGS Kuwa Sawa Na Maamala Au Taasisi Kwa Wenye Kada Sawa.hata TBA huwa naskia wana TGS lkn sina uhakika sana
kuna mpango naskia za chini chini watakuja wa zi flat rate zote za mishahara kwa taasisi zote kama ww ni IT wa ewura mshahara wako unakuwa sawa na IT wa tanesco
Heee ustegemee et ikaja pdf ya kujitegemea ra data base peke yakeHivi PDF la database 1700+ linatoka lini mwezi imeisha hvy. Kwanini hawashushi placement za kutosha Kama kwenye call for interview na advertisement
Ndio maana niliamua kusoma ufundi bomba veta nilikutana na jamaa yupo mwaka wa pili veta kaangaika sana kutafuta kazi na digrii yake bila mafanikio aka amua kusoma umeme now kalamba asali Tanesco maisha yana enda[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Jicho lako linaona km mm,
Ninavyo jua mtu mwenye fani mshahara unakuwa juu kuliko mwenye taalumaShubamitiii...hii nchi kweli haipo fair hiyo salary pekee au hadi posho humo humo?
Hakuna namna ....uhamisho utafuata baadae.Yaaaan
Sema kwa hali ilivyo wa kukausha sio wengi kihivyo...nani ana ubavu wa apangiwe na akaushe unless awe tyr ana mrija wake wa asali unatiririsha ila upo na maisha ya kuunga unga halmashauri iwe kijjn au mjini...bondeni au mlimani...kukame au kwenye baridi utaenda tu[emoji3][emoji3][emoji3]
Duuuh aiseh, Eeeh Mungu baba simama nasisi vijana utujalie tuweze kupata ridhiki za kila siku, AmeenNdio maana niliamua kusoma ufundi bomba veta nilikutana na jamaa yupo mwaka wa pili veta kaangaika sana kutafuta kazi na digrii yake bila mafanikio aka amua kusoma umeme now kalamba asali Tanesco maisha yana enda
Sahihi kabisa.Lakini hata wakipachikwa mmoja mmoja kwa speed hii ya kobe ya placement hawawezi fika watu 1700+ kwa mwezi huu wapili
Note: Placement za mwezi huu wapili ukijumlisha wote wa usaili mpya plus database mpaka sasa hawafiki hata watu 1000 mpaka sasa
Ohooooo, kilioooo hicho......Daah kweli mwamba unahaki ya kupambana aisee umevumilia sanaTGS D 2014, ilikuwa laki 5.3 wakiingiza makato PAYE,PSPF,NHIF,TALGWU, HESLB umeisha inabaki nauli ya kazini tu.
Ameen me naona jobless wapige fani za mda mrefu na fupi waingie kwenye mashirika ya umma maana kule kuna ajira za mkataba wanalipa vizuri maana wanazalisha Tanesco,Dawasa,Tamesa n.kDuuuh aiseh, Eeeh Mungu baba simama nasisi vijana utujalie tuweze kupata ridhiki za kila siku, Ameen
Kada gani hiyo mkuu mlifanya hiyo siku?Kivipi mkuu[emoji23]
Kiufupi na mie miongoni tunaosubiria pipa la asali oral nimepiga trh 2 mwezi huu
Hilo Pdf Lipo Inaweza Husishaa Taasisi Zote Mlizofanya November Na Dec Au Ikatoka Kipekee Yake na Huwa Wanautaratibu Ikitoka Huwa Wanaweka na Statement.Heee ustegemee et ikaja pdf ya kujitegemea ra data base peke yake
Hizi hizi znazotoka ndo watu wanapachikwa humo
Daaaa, Pole sana mwamba.Hii mada yenu ya salary imenitonesha kidonda cha kukandwa TRA
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Very very bad...Situation Is Worst
Ohooo kumbe RUWASA ni kama halmashauri iliyochangamka...Ndio ni chache....mfano Rural Water and Sanitation Agency-RUWASA wanatumia TGS