Aiseee mm nlijibj maswal yote,hadi nisoyoyajua kuna mda nkawa nafkria points mpaka madam akawa anasema umebakiza dkk chache try to be fast. Af sasa najib kwa kujiamin[emoji1787][emoji1787]moyon najua kipengele hiki sjakisoma kbsa.
Namuomba Mungu anitendee maajabu nifaulu regardless ya nlichojibu.
Duuu ngoja tusubirie tuoneHilo Pdf Lipo Inaweza Husishaa Taasisi Zote Mlizofanya November Na Dec Au Ikatoka Kipekee Yake na Huwa Wanautaratibu Ikitoka Huwa Wanaweka na Statement.
Kwamba Kadhaa wameitwa from database tofauti na ile ya kuchomoa 1au kadhaa kutoka kwny Database to pdf Zinazotokag
Mara ya mwisho Walifanya May 2020
Walitaa 248 Wote From Database Ndani Ya Mwezi 1
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£TGS D 2014, ilikuwa laki 5.3 wakiingiza makato PAYE,PSPF,NHIF,TALGWU, HESLB umeisha inabaki nauli ya kazini tu.
Mkuu, ni hatari....ningejua nisingebadilisha wazo langu la kusoma WM pale Morogoro.Hahahhha Daah mkuu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]AisehKwan hapo kabla ya kutwambia kuna post 1768 si walkuwa wanasema wanaopata kazi pia ni wale wa kanzidata
Tunataka watu 1768 seperate[emoji3][emoji3][emoji3]
Very trulyNi jambo jema pia! Ni moja wapo ya kutafuta namna yotote ili mradi kutoka tu! Kuna mashirika madereva wanalipwa kuliko hata mwenye degree! Sasa kama TRA dereva anaanzia 800k why mtu asiopt hata kwenda kuwa driver??
Ameen kaka, yajayo ni mema zaidiTutapata tu mkuu,MUNGU ni mwema sana
Ohoooo, hili nalo mkalitizame kwa upya...[emoji1][emoji1][emoji1]RUWASA hawana kibali cha kuajiri kama taasisi inayojiyegemea....wakati inaanzishwa ilikopa wafanyakazi kutoka Halmashauri na ndio wanaofanya kazi kwa sasa....Wanapambana wapate kibali cha kuajiri kama wenzao TARURA....ila kwa sasa kuna baadhi wameshabadililishiwa scale zao kutoka TGS kwe scale ya RUWASA mpya RSS japo kibunda kimebaki kile kile kama cha TGS[emoji3]
NawazaaaaaKila nikiwaza nispokuwemo kwenye PDF kuja kuanza upyaaaa
Mara utume maombi
Kuja itwa written miezi sita
Oral kupenya mziki mwingine
Oral ufanye ukae miezi mingine mitatu hadi mitano
Aiseee ukiona mrija wa asali umefunguka ni kamchakato
nadhani hukunielewa vizuri sijamansha washushe mishahara ya taasisi ili walingane bali watumishi wote wa taasisi wakala na mamlaka za serikali wawe sawa nkimansha walio chini nao wafikie level za wenzaoSahau Magu Alijaribu Akashindwa Kinachowezekan n Kuwapandisha w TGS Kuwa Sawa Na Maamala Au Taasisi Kwa Wenye Kada Sawa.
Ila Pia Ni Ngumu Maan Gharama Zitaongezeka Na Pia Hizo zenye Mishahara Hy mikubwa Au Taasisi Huwa Zinapewa malengo mkifika Kibunda Kinajaa.
Juzi TPA Kulikuwa Na sekeseka Wanataka Waongezwee Sabab walifka Target.
Si Unasikia Kila Mara Bandari Imevunja Record.
Kwahy wao kujiongeza n kawaida maan Wamekusanya Kwa Kiwang na Pia Wanakiasi cha mapato wanahold kwny Account Za Taasisi Husika.
TPA Kwa Mwaka Anatoa Gawio La 15% Ya Faida Yake Serikali Kama 300 Billion.
Alafu Halmashauri Zote Kwa Mwaka Wanakusanya 1.2 Trillion.
Unataka Wakae Meza 1 Kimshahara kweli.?
Tuendelee kuvumilia Ile dude la Valentine's Day nahisi alikukamilika vizuri nachowaza Siku watakapotoa matokeo ya Madereva Piah kutakuwa na adjustments za Kada nyingne maana km tangazo lilitoka Mwezi wa 4 Mwaka Jana na Placement ni Mwez 2 tena Kwa Nafasi zilezile zilizotangazwa (Nyongeza ilikuwa km nafasi 3) arafu hawakutoa tena Tangazo Bhs wale tunaosadikika kuhifadhiwa database walai kuna Jambo Letu Acha Mwezi ugeuke tuone nini kitatokea.Hv kwann hz pdf za placements ni ngumu sana kupachikwa Asubuhi..?
Ni ileile placements ya TRA ndiyo ilivunja records baada ya kupachikwa saa 7 mchana Ila nahisi Maneno ya Mama wetu yalisababisha
Wanakulipia?Hapo ni kuomba ruhusa ya kwenda kusoma tuu.
KabisaCha Muhimu ni Akili yako na Nizamu ya Fedha uliyonayo.
Hii ni zaidi ya majuto lkn Kwa Utamu wa kuitwa Oral nimeweka nadhiri nitapamba kila interview nitayofanya niende Oral Kwa kweliKila nikiwaza nispokuwemo kwenye PDF kuja kuanza upyaaaa
Mara utume maombi
Kuja itwa written miezi sita
Oral kupenya mziki mwingine
Oral ufanye ukae miezi mingine mitatu hadi mitano
Aiseee ukiona mrija wa asali umefunguka ni kamchakato
Mwezi ujiroge useme ununue Kadeti zisizopauka za 60000 na kiatu cha ngozi 70000 kwisha habari yako. Mtumishi unaishia kununua suruali za kumodoa za elfu5 kama mwanachuowe jamaa umenichekesha sana aseeeπππππππππππ
[*]CPA T wa NAOT Wana hela nyingii kuliko vitengo vingi kutokana na Allowance and safaris.
[/LIST]
Duuuuuh!![emoji848]Mwezi ujiroge useme ununue Kadeti zisizopauka za 60000 na kiatu cha ngozi 70000 kwisha habari yako. Mtumishi unaishia kununua suruali za kumodoa za elfu5 kama mwanachuo
Inategemea.By the way bora wapi sasa
Kijjn ukalime au mjini ukapige mission town ili ishirikiane na kahela ka mshahara??
Oral inakautamu kake aiseh,Hii ni zaidi ya majuto lkn Kwa Utamu wa kuitwa Oral nimeweka nadhiri nitapamba kila interview nitayofanya niende Oral Kwa kweli