AhahahahahhahaMwezi ujiroge useme ununue Kadeti zisizopauka za 60000 na kiatu cha ngozi 70000 kwisha habari yako. Mtumishi unaishia kununua suruali za kumodoa za elfu5 kama mwanachuo
Hapo sure ss tulikuwaga na HR mmoja kwenye halmashaur mjn uko kaupiga mwingi sana, kuna tuvituvitu hiviInategemea.
Kama ni afisa biashara bora mjini.
Kama ni afisa kilimo bora kijijini
Kama ni HR bora mjini
Ahsante sana mkuu.Mwifwa ndugu yangu kumbe tayari umeshalamba asali ya NAOT, Hongera sana ndio nazipata habari zako humu ulikuwa mchangaiji mzuri wa mada, na sisi tunasubiria soon tunatumai na sisi tutalamba asali kwa uwezo wa Mungu
Sikupingi naukikuta written mlikuwa 9k huko inatia MoyoOral inakautamu kake aiseh,
Give up is not an option!Mwifwa kanifunza ni marufuku kukata tamaa, alikuwa akielezea jinsi saili za utumishi humu zilivyomkanda, hatimae sasa kawakanda wao, hakuna kisichowezekana chini ya jua, cha msingi ni juhudi na kumtumaini Mungu ili juhudi zako zizae matunda.
Mm nmesema stachungulia kule tena yaaaninimechungulia placement bado bila bila
Mchana/jioni naona wataendelea na Wizara ya kilimo.nimechungulia placement bado bila bila
Hapo tunapata funzo kuwa, tupambane kwa Option zote kwa kuwa hatujui wapi mambo yatatiki.[emoji23][emoji23][emoji23] kupanga ni kuchagua ila Mungu ndie anajua zaidi
kuna rafiki yangu yeye alikuaga anaomba kazi za taasisi kubwa kubwa tu zikitoka kazi za halmashauri haombi jamaa kapiga oral zake kibao tu mrija wa asali unakuja anapangiwa kutoka data base kwenye halmashauri huko
mshikaji hadi leo hii huwa haamini kilichotokea lkn mwisho wa siku ilibidi akubaliane na hali tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mwifa kapambana sana huyu mtu sio siri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
tatizo kitaa mishe ngumu balaaMm nmesema stachungulia kule tena yaaani
Maana nmeona najipa mapresha ya bure
zege hailali ,lazima wateme mkeka siooMchana/jioni naona wataendelea na Wizara ya kilimo.
NIRC & ASA mjiandae kuanza weekend vizuri leo.
Yaan Ijumaa hii ya Leo haiwezi kupita patupu kama Jana imepita patupu Leo zaga linatemwa
Leo ni Leo asemaye kesho ni muongo..zege hailali ,lazima wateme mkeka sioo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], asalaleeeMwezi ujiroge useme ununue Kadeti zisizopauka za 60000 na kiatu cha ngozi 70000 kwisha habari yako. Mtumishi unaishia kununua suruali za kumodoa za elfu5 kama mwanachuo
Duuu, hali ni teteInategemea.
Kama ni afisa biashara bora mjini.
Kama ni afisa kilimo bora kijijini
Kama ni HR bora mjini
Umenikumbusha the same scenario ilinikuta nilipigwa na baridi cive na kikakandwa pia[emoji3][emoji3][emoji3] Aiseh Mungu atusaidie vijana tunapitia mengi sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna siku nilikuwa natetemeka mwili mzima na baridi la CIVE( ile ukisimama unaona mwili unavibrate wenyewe utadhani gari linaunguruma likiwa halijazimwa kwenye parking) wakati nasubiri kuingia kwenye mkando. Nilipoingia nilikandwa haswa