Kuhama lazima pawe na nafasi upoenda!iviii watu wote wakiwa wanahama halmshauri na kukimbilia taasisi zingine huko halmashaur ufanisi wake utaimarika kweli???
Bado Mzee,nadhani baada ya hizi nasi tutaanza kusikilizia Sasa Placements.Sisi veeepe??
Nmesema sitak kuingia kule kwenye placement hadi mkeka wetu
Hongera sana mkuu ULETE SCREENSHOT ZA STATUS sasaOyoookh nimelamba Asali ASA
Kweli asee,baada ya hapa na Sisi ndio tukae mkao wa kula...Kweli kabisa hapa ametisha sana...na sisi wa November 28 tusubiri.
Watu wamelamba asali vibaya mno. Hongera nyingi kwaoASA na NIRC PDF lenu Hilo Hapo la placement
Hata najua basi ndugu yangu. Ila nilikuwa nikiona tu nafasi za kazi katika halmashauri flani nilikuwa sihangaiki hata kuifunguaHv za halmashaur ndo zile katibu sjui etc? Zle ni mwa waliosoma community development tu eeh???
Hongera sana mwamba, nakutakia weekend njema.Oyoookh nimelamba Asali ASA
hahaaaAsanteni sana jamani.. Mimi sio jobless tena.. lilikuwa ni Suala la muda tu nimelamba Asali Tayari ASA
[emoji23][emoji23][emoji23]kumbe tupo wengiHata najua basi ndugu yangu. Ila nilikuwa nikiona tu nafasi za kazi katika halmashauri flani nilikuwa sihangaiki hata kuifungua
mku ulifanya taasis ganmbona keka la afya hawatoi?
Wapo jamaa kibao nawafahamu wamelamba asali. Hongera nyingi kwaoMzigo tayari mzee umeachiwa muda si mrefu.....ASA na NIRC
Kwenye ile list uikate ASA sasa,update list ile mkuu,zimebak ngapKweli asee,baada ya hapa na Sisi ndio tukae mkao wa kula...
Lakini nadhani wataanza na CPB..
CPB mkeka wao wa Placement pia upo Karibu...
Na sisi sooooonWapo jamaa kibao nawafahamu wamelamba asali. Hongera nyingi kwao