HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Vizuri mlumbi...
 
- umeajiriwa NAOT juzi huwezi kuijua vizuri, principally Kazi za Auditing nyingi (sio zote) zinahitaji Wahasibu, na ndiyo Maana NAOT wanaajiri watu wa Accounting and finance kuliko kada zingine
 
Pole sana mkuu, nafasi yako ipo, ni suala la muda tu.
Mapambano yaendelee
 
Kwenye ile list uikate ASA sasa,update list ile mkuu,zimebak ngap
28/November-December 01/2022.
Placements zilizopo njiani,muda wowote lolote linaweza kutokea kutoka PSRS...
▶️TAEC
▶️ARIMO
▶️OUT
▶️IAA
▶️RUWASA
▶️SUA
▶️MoCu
▶️TMC

yesamrich hii ngoma nadhani mpaka mwezi ujao,lakini Kwa kuwa mwezi haujaisha lolote linaweza kutokea....
 
[emoji23][emoji23][emoji23]kumbe tupo wengi
Kuna milango miwili ya ajira katika halmashauri, kuna zile ajira zinazotolewa moja kwa moja na Mkurugenzi, hizi ni zile za watendaji daraja la III, Madereva na ma-sekretari, hizi ndo pdf zake zinashuka sana humu, qualification zake ninza chini, certificates.

Kada nyingine zote za ma-officer II, Hizi ndo zinatoka moja kwa moja utumishi kwa kibali, hizi ndo hizo za degree, lakini wote boss wao ni Mkurugenzi
 
Mapambano yaendelee,usikate tamaa.PDF inayokuja utakuwepo kaka,Mungu ndiye mtoaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…