HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Tisha sana boss[emoji119],mm hapo spo hata moyaaaa,najua zikiisha hizo na ss MDA LGA tupo njian,ndoman napenda hiz update nifatlie
 
Shukran,sasa nimeelewa
 
- umeajiriwa NAOT juzi huwezi kuijua vizuri, principally Kazi za Auditing nyingi (sio zote) zinahitaji Wahasibu, na ndiyo Maana NAOT wanaajiri watu wa Accounting and finance kuliko kada zingine
Haya maelezo hayana tofauti na maelezo yangu(uliyo qoute).

Wahasibu(CPA T) wapo vitengo vingi.

Vitengo hivyo havifanani majukumu.

Kutofanana majukumu ndio kunafanya kutofautiane kuhusu kwenda field, kuna vitengo vina field nyingi, vingine vina field chache.

Allowance ni kutokana na muda unaoenda na kuutumia Field. Ukitumia muda mrefu utapata allowance ya muda wote huo, pia ukitumia muda mfupi utapata kulingana na huo muda.

Hitimisho:
Allowance inategemeana na muda unaotumika kwa field, kama hujaenda huipati hiyo allowance, kuhusu perdiem UTUMISHI walishatoa muongozo kwa waajiri wote kuhusu hilo ambapo linazingatia scale za mishahara.
 
Nadhani TRA wanaweza kuongeza watu ndo maana hata kureport wameambiwa watapigiwa simu tofauti na mwaka jana ambapo barua ilikuwa inajieleza kila kitu
Mambo hayawezi kwenda kienyeji namna hiyo. Kuna kitu kinaitwa "delay tactics" watu wa siasa hupenda sana kuitumia hii kam kutatua tatizo na kuweka mambo sawa kwa muda.

Kelele zilikua nyingi kuhusu placements, na inawezaikawa hali ya ndani haikuruhusu kupokea ajira mpya kwa wakati ule, hapo, kutatua, unatoa pdf la placement, hawa waliotokea watapoteza muda katika kusubiri kuripoti kwa mafunzo. Hakutakuwa na kelele tena, hata wakiwekwa miezi miwili au mitatu, kelele zake zaziwezi kuwa kero.
 
Hongera sana mliopata,
Binafsi nilikua matumaini moja la NIRC lakini wakati wa Mungu bado, hapa saizi ni mwendo wa kusubiri bajeti ijayo.
Hongereni sana tena mliopata.
Usijali mkuu, wakati ukifika mambo yatakuwa swafii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…