Pole sana kaka, haina kukata tamaa as long as pia kuna mkeka unapumua, halafu usikuta ushapata mkeka mwingine huo na hawataki multiple placement.wakuu nimechapika NIRC
status ilianza selected for null-practical-oral and till now oral.ofcoz nirc nzima ni SUA pekee, udsm wametutema. Uhamiaji nimechapwa, Nirc nimechapwa. ngoja nisikizie mkeka wa mwisho uliobaki. mlio tusua hongereni sana ma afsaa
Washafika 1769Sio wanachanganya hukohuko ukijumlisha toka waanze kutoa za tra tayar wanakaribia watu 1700
Hongera sana Mkuu! Karibu Serikalini na nikutakie utumishi Mwema..Oyoookh nimelamba Asali ASA
Asante sana mkuu,, mazaga one kanistua kweli yaan nimepakuwa chap na kukuta jina langu.Finally, we are flying together!
Hongera sana mwamba! Mtumishi mpya in Town!
Ohooo Pole sanaa mkuu, kwa upande wa irrigation naweza kubaliana na wewe wote wanaweza kuwa SUA lakini kwa Civil sina hakika sanaawakuu nimechapika NIRC
status ilianza selected for null-practical-oral and till now oral.ofcoz nirc nzima ni SUA pekee, udsm wametutema. Uhamiaji nimechapwa, Nirc nimechapwa. ngoja nisikizie mkeka wa mwisho uliobaki. mlio tusua hongereni sana ma afsaa
Kongole kwa Mama! Na keshasema watu wa kilimo lazima mlambe asali wote..Asanteni sana jamani.. Mimi sio jobless tena.. lilikuwa ni Suala la muda tu nimelamba Asali Tayari ASA
Hongera sana Mkuu.Asanteni sana jamani.. Mimi sio jobless tena.. lilikuwa ni Suala la muda tu nimelamba Asali Tayari ASA
Asante sana.. Mungu kanibariki hii Zawadihongera mkuu
Mungu ni mwema sana.Tulikuwa wote na naimani tutakuwa wote humu,mnapopata mnatutia nguvu na Sisi tunaousubiri PDF la Placement.Asante sana mkuu,, mazaga one kanistua kweli yaan nimepakuwa chap na kukuta jina langu.
Duuuh Leo ni siku njema sana kwangu..
Asante Mungu🙏🙏🙏
Nawe pia mkuu,, weekend imekuwa safi sana kwangu.. yaaan kuanzia Sasa nakiona nimekuwa mtu kweli.Hongera sana mwamba, nakutakia weekend njema.
I feel ur pain! Hope for the best in future..wakuu nimechapika NIRC
status ilianza selected for null-practical-oral and till now oral.ofcoz nirc nzima ni SUA pekee, udsm wametutema. Uhamiaji nimechapwa, Nirc nimechapwa. ngoja nisikizie mkeka wa mwisho uliobaki. mlio tusua hongereni sana ma afsaa
Hongera sanaaa kaka, usichoke kukatizaa humu.Nawe pia mkuu,, weekend imekuwa safi sana kwangu.. yaaan kuanzia Sasa nakiona nimekuwa mtu kweli.
Asante Mungu.. ASA ndio Nyumbani kwa sasa
Yaah TGS nishaikwepa Mungu ni mwema[emoji38][emoji38][emoji38], hongera sanaa mkuu, naona umefurahia mara mbili ikiwemo na kuikwepa TGS...
Usikate tamaa mkuu.ngoja nianze kuvizia database sasaa, haloo ukiwa na roho nyepesi utajiona mwenye laana
Lengo ni kufikisha ujumbe mkuu bila kuangali nafsi iliyotumikaMkuu si ulisema na wewe ni miongoni mwa waliopata asali hapo TRA vip mbn wasema wameambiwa...
usijipe matumaini ndugu yangu hakuna pdf la databaseMungu ni mwema sana.Tulikuwa wote na naimani tutakuwa wote humu,mnapopata mnatutia nguvu na Sisi tunaousubiri PDF la Placement.
Daaaaa, mwamba jipe moyowazee nitaoa kweli,ama niwekeze nguvu kwenye kilimo cha korosho huku kwetu manyoni
Yaaah humu nipo sana.Hongera sanaaa kaka, usichoke kukatizaa humu.