HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
MSAADA WA HARAKA
KUNA MTU NAMSAIDIA KUMWOMBEA AJIRA KUPITIA AJIRA PORTAL
SASA.KILA TUKIJA KUOMBA TUNAAMBIWA UPDATE DETAILS BY NIDA NO
NA NIDA TUSHAWEKA ILA BADO WANASEMA ULDATE
TUNAFANYEJE??
MAANA IMENICHOSHA[emoji3][emoji3]
 
Asante sana Mkuu🙏🙏, ❤️❤️❤️ daima
 
Acha kujipa mamlaka kiasi hiko, ametoa maoni yake kwa viashiria vyake anavyoviona yeye. Na kwa maoni ya kutia moyo ndo unakua unafahamu kinachoendelea?
Sijajipa Mamlaka kaka.Kuna watu wanasubiria PDF lolote na ikiwemo kupata kutoka Database,na kila PDF wanafungua kuona kama wapo,ila yeye kusema Hakuna,ni kama anawakatisha tamaa wenzetu waliokwishafanya saili na PDF zao zishatoka na matumaini Yao yakiwa kwenye Database......
 
  • kutokana na CPA na Accounts officers kuwa wengi ndiyo maana wengi wananufaika kutokana na wingi wao.
  • kuhusu Posho Kwa Sasa ni sh 250,000/- Kwa daraja la juu na 100,000/- Kwa daraja la chini.
 
MSAADA WA HARAKA
KUNA MTU NAMSAIDIA KUMWOMBEA AJIRA KUPITIA AJIRA PORTAL
SASA.KILA TUKIJA KUOMBA TUNAAMBIWA UPDATE DETAILS BY NIDA NO
NA NIDA TUSHAWEKA ILA BADO WANASEMA ULDATE
TUNAFANYEJE??
MAANA IMENICHOSHA[emoji3][emoji3]
 
Mkuu upo sahihi database ipo vjana waendlee kusubiria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…