HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hongera sana mwamba.. Tushalamba Asali kwenye Serikali ya Mama wetu..

Nilishakwambia wadau kuwa Leo ASA na NIRC lazima kitu kiteme na kweli yametokea na bahati nzuri tumo ndani
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯ Andaa suti ya kwenda kuchukulia Barua...
Sie Bado tunavuta subra placements za November ,Nadhani zipo njiani
 
Hongera sana.
 
Nafurahi navyoona vijana mnaleta mrejesho wa PDF kwamba mrija wa asali sasa umefunguka...
Hongereni sana
Sasa tunatiwa moyo kwamba inawezekana

Aiseee ni furaha iliyoje baada ya msoto wa muda mrefu
Kwa ambao bado hatujapata tusife moyo.....mambo mazuri yanakuja...kikubw auhai na uzima
 
Vijana wanamix sana mambo
Mpk sasa ktk hizo 1769 sidhn hata mia 3 kama zimefika mfano huu wal leo tangazo likikua na 524 sasa ukiangalia hapo database ni wangp utaona ni wachache
Una maana PDF la database litatoka lenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…