Ila waziri alivyosema database ukute hakumaanisha tunavyoelewa, maana database zipo 3Vijana wanamix sana mambo
Mpk sasa ktk hizo 1769 sidhn hata mia 3 kama zimefika mfano huu wal leo tangazo likikua na 524 sasa ukiangalia hapo database ni wangp utaona ni wachache
Alisema a mwezi huu huoni kufika jtano Baba Jeni bye byeHata kama halitatoka lenyewe lakn bado nafasi zile zizlizosemwa hazijatoka vile tunatarajia zitoke kwa uwingi
daah so sad champ,next timeBinafsi nilikuwa nasubiri kweny nafasi ya Agricultural Engineer Civil, kwenye mkeka sipo bt natumaini wakati wangu bado haujafika.App status, Selected for Oral.
Hongera Kwako Kaka kawe Mtumishi Mtiifu na Mwema maana Joto la kutafuta Mrija umeliona Lina Centigrade nying Kias gan!Habari wanajamvi,kwanza ni nimshukuru muumba kwa kunijalia kua miongoni wa walamba asali(NIRC),wakati wake ndo wakati sahihi,pia niwashukuru members wa hii thread.
Ahsante.
Hapo kwenye Data base watakaohusika naona waliofanya oral 2022....Una maana PDF la database litatoka lenyewe
Mnatufariji sn sisi wenye mabadiliko Sawa na yenu tunaendelea kuamin kuwa Hatukupata Nafasi Ila tulitoboaNa mimi nimepata kazi leo Nirc nashukuru Mungu. Japo nilikua nasubiria zaidi mkeka wa tpdc maana naskia asali ni niyingi ila moyo ushakata tamaa baada ya kusoma humu nikaona wadau wanasema hamna multiple palcement. Wale wa status ilianza selected for selected for practical kwenda selected for null na sasa hivi inasoma selected for oral.
Kabisaa mkuu joto la mtaan si lakuelezea kama huna kitu cha kufanya,.4 yrs kitaa.Hongera Kwako Kaka kawe Mtumishi Mtiifu na Mwema maana Joto la kutafuta Mrija umeliona Lina Centigrade nying Kias gan!
Kabisa yaan...Ilo ndy la Msing tuendelee kupambana ili kila wkt tupate nafas ya kurejea Oral mara Kwa mara
Ilyoongelewa ni datanase ya waliofaulu usaili mzeeIla waziri alivyosema database ukute hakumaanisha tunavyoelewa, maana database zipo 3
Ya kila applicant, alafu waliofaulu mitihan na waliopangiwa kazi
Naenda jumatatu mkuu.Asante mkuu,, Mzee wa TARI unaingia lini Dom kuchukuwa zaga lako..?
Hongera sana mwamba.. Tushalamba Asali kwenye Serikali ya Mama wetu..
Nilishakwambia wadau kuwa Leo ASA na NIRC lazima kitu kiteme na kweli yametokea na bahati nzuri tumo ndani
Naelewa Faza kuna muda tunaenda kubishana vijiweni ili tupunguze Mawazo ya Mikando tuKabisaa mkuu joto la mtaan si lakuelezea kama huna kitu cha kufanya,.4 yrs kitaa.
Mpaka unaingia Database mkuu unakuwa umefaulu ila hukupata nafasi kwahiyo utaingizwa kwenye ajira za vibali vipya au zilikosa watu kulingana na taaluma. Kwa hiyo Data base ipoIlyoongelewa ni datanase ya waliofaulu usaili mzee
Pamojah mkuu, tutakuwepo humu kuwafariji vijana wenzetuMkuu, pamoja na hongera nyingi. Tafadhali, tunakuomba usipotee kwenye huu uzi, uwe unaendeleza hamasa kwa wanaosubiri. Mchango wako humu sio mdogo.
Sawa mkuu, me Jumatatu nataka inikutie DomNaenda jumatatu mkuu.
unajuaje upo data base...hapo ni swala la Kuzidi maombi jina lako liwepo kama ulifanya oral!!!!Mpaka unaingia Database mkuu unakuwa umefaulu ila hukupata nafasi kwahiyo utaingizwa kwenye ajira za vibali vipya au zilikosa watu kulingana na taaluma. Kwa hiyo Data base ipo