HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
  • kutokana na CPA na Accounts officers kuwa wengi ndiyo maana wengi wananufaika kutokana na wingi wao.
  • kuhusu Posho Kwa Sasa ni sh 250,000/- Kwa daraja la juu na 100,000/- Kwa daraja la chini.
Uko sahihi mkuu
 
Hongera sana mkuu.
Kila la kheri, ukawe mtumishi mwema
 
Mwenyezi Mungu ni mwema kila wakati. Haijalishi utasubiri kwa muda Gani lakini wakati wako ukifika umefika na hakika wakati wa Mungu ndio wakati sahihi. Napenda kuchukua nafasi hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kufanikiwa kupata mrija wa asali ASA. Tulikuwa pamoja ndugu zangu wa JF kwenye harakati za ujobless lakini Leo hii Mola ameniinua. Tupo pamoja nami ntazidi kuwaombea na kuwaweka kwenye Sala daima hopefully kila mmoja wakati wake sahihi utafika na atapata mrija wa asali.

on status issues. Ilianza SELECTED FOR ORAL then SELECTED FOR NULL then SELECTED FOR PRACTICAL then finally SELECTED FOR ORAL....and this was for both Web and App.
 
Hongera mkuu ukawe mtumishi MwemA nimefurahi pia kusikia tupo TAASISI moja
 
Asante sana mkuu,, mazaga one kanistua kweli yaan nimepakuwa chap na kukuta jina langu.
Duuuh Leo ni siku njema sana kwangu..
Asante Mungu🙏🙏🙏

Hongera sana mkuu,

Hakika Leo ni siku njema kabisa kwako, nimefatilia comments kabla ya mzigo kuwekwa ulitabiri itakuwa weekend nzuri kwenu.

Yaani ulikuwa na uhakika kuwa umo Kwa pdf😄😄😄😄
 
Duh kumbe selected for null ni muhim,japo naskia haipo tena sku hizi
 
Kila la kheri mkuu!
Ukawe mtumishi mwema na kachape kazi kizalendo
 
mashirika ya umma yakiyumba hadi watumishi wanayumba mfano TRC enzi hizo wanaitwa RAHCO kuna wakati ilikua haipumui unadhan pale wangapi waliacha kazi kwa hiari

mfano mwingine ni kampuni ya huduma za meli MSCL kuna wakati mwanza south bandarini ilikua ni doro pale watu kibao tu waliacha kazi nakwenda kupiganisha ishu zingine

yaan hata hufukuzwi ila doro lake unajiongeza mwenyewe

sema hiyo ni kwa zaman sikuizi mishahara yao inatoka hazina kama kawaida kwaio na wao wanaenda kwa utaratibu maalum hata namna wanavyoongezewa mishahara yao
 
Baada ya miaka 10[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296]

Ndio, tena ni zaidi ya miaka 10. Yeye ana bahati aliajiliwa ualimu akiwa na miaka 22 enzi zile baada ya pen down tu unapewa barua ya kazi.

Na bahati nyingine kwake masomo anayofundisha kipindi hcho shule zpo mijini tu. Hapo ndio baada ya kufanya kama miaka 3 akasikia hyo gap ya halmashauri akahamia huko.

Zaidi ya miaka 10 amekomaa na Halmashauri na mwaka Jana mwezi wa 12 ndio amefanikiwa kupata kwenye Bodi.
 
Kwakwel maisha ni kuchagua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…