HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Binafsi nilikuwa nasubiri kweny nafasi ya Agricultural Engineer Civil, kwenye mkeka sipo bt natumaini wakati wangu bado haujafika.App status, Selected for Oral.
Usijali mkuu, tuendelee kusubiri... Pole pia.
 
Hongera sana mkuu, mshukuru Mungu kwa hicho alichokupa sasa uendelee mbele. Kongole sana kwako.
 
Borea utumishi wangekua wanatoa matokeo ya oral. Watu tujue kuliko kukaa na stress na hopes kibao huku ukiwazia PDF la database
Asa sijui watalitoa lini na mwez imeisha hvy
Tusikate tamaa mkuu, mwezi bado umebakisha siku kadhaa.
 
Wadau nimekosa NIRC japo status mabadiliko yalitokea yale yale
From selected for Oral then Selected for Practical then selected for null then ikamalizia selected for oral ikarudi mpk now hyo n APP

Kwenye WEB mzigo umebaki Selected for oral

Ngoja ninywe maji kidogo nipumzike nijipange coz ni Received ya WCF kama ratiba zikikaa vzr nikatest ubongo tenaaaa kwenye written
 
Tupe udambo udambo briefly wa kujihakikishia ushindi kwenye oral interview
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…