HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hongera sana mkuu, kila la kheri katika utumishi wako
 
*USHUHUDA *
Ni miongoni mwa watu ambao Mungu amewatendea...Nimepata kimrija cha TGS cha NIRC [emoji120]
Ni miongoni mwa watu waliokandwa sahili za nyuma ila Leo nimepata...hivyo naimani kila mmoja wetu humu atavuta mrija wake 1 day🫡
Amen, hongera sana mkuu...huo ni mrija mpana maana huko kuna field visits za kutosha.
 
Mkuu ukiwa na nyekundu andaa nauli tu ya kwenda Dom. Hiyo uhakika usiguswe kama wale waliokua wanavaa lebo nyekundu tukiwa kayumba [emoji23]. Kuna jamaa angu wawili walikua na Red wote walamba asali..
[emoji38][emoji38][emoji38], yule IT wa utumishi akiona text yako hii ataenda ku-change color code sasahv ili aendelee kuvuruga vijana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…