It depends mkuu,kama wakiweka ki zone watu wengi hawataacha kwenda bt ikiwa Dodoma sio wote tutaendaIla utashangaa mtihan hamfiki hata 200
Red ipo nakubaliana na wewe 100%Bhana weeee
Red ipo
Mm kuna ambayo nilishia tu written wameiweka in red colour kwenye app kwamb Not selected for oral interview
Ila ile ambayo nilitoboa written ipo green na imeandikwa Selected for oral interview
Hakuna cha colour blindness
Malizia ss Post Kuwa Umekandwa au Umewakanda
Huyo Jamaa tatzo litakuwa kwenye Simu yake Maana hii RED imeleta shida kdg kuitaka kuifahamu kiundani zaidi lkn alipotuma Screenshot zote n Green lkn Yy anasema Red Kwa Green.Mbna sion red
Amen, shukrani sana kwa baraka zako mkuuHongereni mliolapa asali.
Karibuni kwenye utumishi wa Umma.
Mliokosa msikate tamaa Mwenyezi Mungu bado anawaandalia sehemu nzuri zaidi.
Nimeikanda Panel 🤣🤣🤣Malizia ss Post Kuwa Umekandwa au Umewakanda
Ila watu mna moyo sana. Humu ilifikia hatua mtu kuangalia status ni kama kuangalia majibu ya HIV/AIDS wakati ulikua hujatulia. Mimi nilifikia hatua nikaogopa hasa baada ya kuanza kusikia kuna wenye selected for null na hawajapata kazi halafu ghafla bin vuu status zinaanza kutuvuruga mara practical mara oral na wengine wanasema kuna rangi rangi nikaamua ku mute hadi mkeka ulipotoka. Hongera sana mkuu, tuendelee kuwaombea mema wenzetu ambao bado mbele yao kuna kiza kinene ili Mola awafanyie wepesi.Asante[emoji120]
Status:
Kwasasa inasoma SELECTED FOR Oral interview kote App na Web
Kwenye App neno lina rangi ya kijani
Kwenye Web neno lina rangi nyekundu
Ila kama wengi ilipitia Null ----Practical
Shukrani mkuu kwa ku-share nasi.
Wewe tulia tuu [emoji4][emoji4], IT wa Utumishi anawachora mnavyohangaika na status(ugonjwa wa wasaka mrija wa asali)Mbna sion red
Amen shukran,hongera sana bossIla watu mna moyo sana. Humu ilifikia hatua jobless kuangalia status ni kama kuangalia majibu ya HIV/AIDS wakati ulikua hujatulia. Mimi nilifikia hatua nikaogopa hasa baada ya kuanza kusikia kuna wenye selected for null na hawajapata kazi halafu ghafla bin vuu status zinaanza kutuvuruga mara practical mara oral na wengine wanasema kuna rangi rangi nikaamua ku mute hadi mkeka ulipotoka. Hongera sana mkuu, tuendelee kuwaombea mema wenzetu ambao bado mbele yao kuna kiza kinene ili Mola awafanyie wepesi.
Hahaha umefuta app umeamia kwenye ushuhudaDah mkuu hongera sana,status ilisomaje huko[emoji13]hili muhim
Umeelewa comment yake boss?Red ipo nakubaliana na wewe 100%
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]wacha tu nikusanye shuhuda kwanza ili sku nikichek nijue pa kuanziaHahaha umefuta app umeamia kwenye ushuhuda
Mimi mara baada ya kusikia humu kua mkeka umetoka, nilikaa chini kwanza ndipo nikaufungua ili nisijepepesuka nikaanguka kwa stress na nilipoona jina limo, nilikodoa macho ili kuaminisha macho yangu kile ninachokiona na kuongeza mwanga kwenye simu mpaka mwisho na kuzoom.Rejea nilichoandika kule juu unapokuwa unalitafuta jina lako
Kwanza hata kutype waga ni shida
Mm ikitokea ntascreenshot kabsa had jina kwa uthibitisho zaid[emoji1787][emoji1787][emoji1787]mana web inaweza hackiwa data zkapotea au it anaweza poteza data huko ofsn[emoji13][emoji13][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mimi mara baada ya kusikia humu kua mkeka umetoka, nilikaa chini kwanza ndipo nikaufungua ili nisijepepesuka nikaanguka kwa stress na nilipoona jina limo, nilikodoa macho ili kuaminisha macho yangu kile ninachokiona na kuongeza mwanga kwenye simu mpaka mwisho na kuzoom.
Ndugu yangu hongera sana, una imani kubwa sana juu dini yako. Nimekufuatilia naona kila unayempongeza unamhimiza akatoe shukrani kwa mafanikio waliyopata. Kama bado hujapata mrija wa asali nakuombea na wewe ukapate ili maneno yako ukayatimize kwa vitendo