HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Za kuambiwa na watu changanya na zako in Jakaya' voice.

Rangi Zina maana yake hata bila kuwa na tafsiri. Ukiona Red unajua hapa ni hatari.

Green=Pass

Hii ni Elimu nyepesi kabisa huhitaji kukaza fuvu.
Nakubali kua red means sio salama,most people do. Ndomana me na wenzangu hapo juu hatukuamin mpaka alipoleta screenshot,and u can see,it wasnt even red[emoji849].
Ogopa sana red color na mwamba NOT[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mkuu umesahau kuwatag
 
Brother bila shaka ulikua unasubiria placement 2 za taasisi moja au?
 
[emoji849] hakuna kitu kama iyo mkuu, ukishakua na Not tu kwenye App jipange na Recieved inayofuata
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]"faamasiala" nn,kama tulivokubaliana tuombe sana mnyama NOT asitupitie.
Btw mm stak mtaja taja tena stak attract negative energy
 
hivi nyie ambao mnatabiri humu mfano mtu anasema kesho PDF la taasisi flani linatoka na linatoka kweli
anakuwa ni mtu wa PSRS yumo humu amehide jina au kuna wenzetu mna connection na watu wa PSRS hivyo mnazipata tu info au kuna sehemu Kwenye web ya PSRS huwa wanaonesha ili na sisi tuwe tunaenda kuona?????
 
28/November-December 01/2022.
Placements zilizopo njiani,muda wowote lolote linaweza kutokea kutoka PSRS...
TAEC,ARIMO, OUT,IAA, RUWASA,SUA,
TMC,MoCu
Wkingz najua pia Bado wasuburi hapa
Kaka kwenyee hii njia y moto lazima tupite pamoja na hatuna choice.
 
Saivi umekua fundi wa kuchambua status [emoji1787][emoji1787][emoji1787].
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nmeibia lonja kwako boss[emoji119][emoji119][emoji119]hatar sana
 
Na mie mwenyewe nina wasi wasi na hilo, kuna mdau mmoja alisema leo ni pdf la ASA na NiRC, imetokea vile vile huenda naye yumo ktk watu wa utumishi πŸ˜‚
 
*USHUHUDA *
Ni miongoni mwa watu ambao Mungu amewatendea...Nimepata kimrija cha TGS cha NIRC [emoji120]
Ni miongoni mwa watu waliokandwa sahili za nyuma ila Leo nimepata...hivyo naimani kila mmoja wetu humu atavuta mrija wake 1 day🫑
Hongera sana mkuu, ukawe mtumishi mwema.

Kila la kheri!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…