HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Pole sana mkuu mapambano yaendelee, nafasi yako ipo ila muda bado haujafika, kuwa na subira, tuombeane
 
Nashukuru sana ndugu mosses15 kwa maneno Yako yakujenga na kutia moyo.Nitayaishi daima
 
Yap hapo CPB inaeza kutolewa fasta maana kwanza ni ya Mkataba haiingii Hazina.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ukikosea heruf moja ya jina alafu kama lipo inakuambia hivyo upo sahihi comrade nmecheka sana ila ni bora uscroll jina moja moja tu kiukwelπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
umeona eeh mkuu
 
2)Yeah hapo mwshon ndo panavuruga,kuna wenye positive status na bado wameangukia pua
Ww ndo
Yeah hapo mwshon ndo panavuruga,kuna wenye positive status na bado wameangukia pua
Ukiwa na wanafunzi 10 nafasi ni mbili (2) halafu wote wamefaulu remark ukawajazia ""PASS"" coz wote wamefaulu baada ya hapo izo nafasi mbili ukawapa waliofaulu kwa wastani mkubwa, halafu hawa 8 waliokosa nafasi wanakuja kukulahumu kwanini sisi hatujapata nafasi wakati tumejaziwa pia ""PASS"" ndo kinachotokea, waliojaziwa fail ni sawa na """NOT"". I hope umenipata kwanin wameangukia pua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…