HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Yes nmeelewa boss,
 
 
Mm nmekadria 6 months so had wa 8,no lets wait and see
Katika records toka maktaba, inaonesha wale wanaoulizia sana kuhusu maendeleo ya status punde tu toka wamalize sahili zao za oral huwa pdf likitoka mara nyingi wanalamba asali, pdf lako likitoka utakuwemo.

Pia, kuna zile ID mpya huwaga zinakuja kwa kasi sana kuhusu maendeleo ya stutas pindi pdf likikaribia kutoka ama hupata za ndani au ni wanusaji wazuri, nao pia mara nyingi hutokea katika pdf. Kwahiyo, ikifika tu time ukaanza kuona kuna ID zinakuja kasi sana humu kuhusu status jua muda umefika, pdf liko mlangoni.
 
Ni kweli mkuu, wakati ule kabla Wizzy hajakimbia ID yake hizi mambo za status zilishika kasi sana..unasikia tu ukiwa na shortlisted basi andaa suti..huku ukicheki kwako huna hiyo status....yaani ni kivurugana kabisa.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119]nipinge me nani sa,Ameeeen i receeeiveeeee.
 
Hii nzuri 😂😂😂😂 Amiiin 🙏
 
Ivi mtaalam huko NAOT mna Extra duty allowance kila mwezi? au kusipokua na kazi ya field huo mwezi husika ni mshahara hadi mshahara?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119]nipinge me nani sa,Ameeeen i receeeiveeeee.
Baada ya pdf kutoka sasa, kuna zile ID nyingine mchanganyiko (Member, Seniour or JF expert) sasa nazo huibuka kushuhudia tu. Hawa huwa na kauli zinazofanana, " Japo sikua mchangiaji, na mimi nashuhudia nimelamba asali". 🤣
 
Kuna wana ni waongo humu haha hawajapt placement alf wansema wamepata siku ya siku wnajichanganya 🤣
Hahah siku izii mm nimeamua kukaa kimya ili swala la status, nimeona niliache kam lilivoo.
 
Ndio Mkuu nilikuwa nasubiria 2 hiyo moja ya ASA ndiyo wamenibless Leo. Hyo ya UDSM Wala Sina time nayo tena na nishawapanga competitors wenzangu kuwa nishajitoa Tayari, hata kama walinihitaji Ila PSRS hawawezi nipa Multiple placement kwa sasa
Safi sanae...hongera....Kuna mtu anaulizia hizi mambo hamna connection kweli??? Binafsi nlianza interview 2021.. interview yangu ya kwanza nlipiga ya udsm nikaenda oral sikuchaguliwa kazini,then mwezi wa 9 mwaka jana na mwezi wa 11 nilipiga mbili nkachezea mkando,nkakata tamaa December nikaitwa TMDA nikawakanda, MUHAS nikawakanda,,MDA/LGA nikawakanda..ko nasubiria 3 adi sasa...tuambiane kuna maconection au jitiada tu binafs
 
Ukweli huu kabisa.
 
Hizi ni mchanganyiko, connection kidogo, si unajua nature ya binadam, upendeleo/kujuana wameipunguza, imebaki kiasi kidgo, hawawezi kumaliza hili tatizo.

Kwa kiasi kikubwa ni jitihada, ukijiandaa vizuri/ukiwa vema katika kada yako katika kukabiliana na mchujo na ukawa na uwezo wa kukabiliana na panel kwa kujiamini nafasi kubwa ya kutoboa ipo.
 
Wale wanawake wenye kucha ndefu na pozi kule private sector ambao kama yupo chini yako ukimwagiza anagoma kwa kiburi cha boss PSRS hukandwa vibaya sana yaani ni mwendo wa RECEIVED na NOT

PSRS endeleeni hivyo hivyo wakandeni mabinti wa uturuki

Wanao deserve wapite kwa roho nyeupe wakaijenge nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…