yeah azidi kumwaga zingine vijana tukampigie kazi za uhakika kwa ufanisi na uharakaMama ana upiga mwingi sana vijana katubeba sana
kwa kweli pengine naweza ajiriwa kipindi hiki cha mama...Mama ana upiga mwingi sana vijana katubeba sana
November 28 nipo hapa pia mzeeToday in the midnight
Mnavyokuwa mnasikia kuhusu mrija wa asali....asali yenyewe ndo hii hapa sasa...pure kabisaView attachment 2529858
Lipo jukwaaa maalum la matangazo mkuu na pia la biashara jiongezeMnavyokuwa mnasikia kuhusu mrija wa asali....asali yenyewe ndo hii hapa sasa...pure kabisaView attachment 2529858
TupoooWa 28th Nov tujuane
Sjatuma hii kwa ajili ya biasharaLipo jukwaaa maalum la matangazo mkuu na pia la biashara jiongeze
[emoji28][emoji28]Wadau uzi umepoa!!
Auuu niwashtue na screenshot status ya rangi ya zambarau??
[
Wadau uzi umepoa!!
Auuu niwashtue na screenshot status ya rangi ya zambarau??
[
Watu Wana MAmbo tubishe kwa factHiyo hapo DATABASE
Kumbe lile PDF la watu 1768 lnaweza kuja tolewa kivyake vyake na inawezekana kabisaWatu Wana MAmbo tubishe kwa fact
Kikubwa mrija wa asali ukufungukieNa hyo data base nayo ni utata,tutajuaje kama kweli wote ni from data base.
Hapo ndo wenye connection zao wanapopenyezwa sasa.
🤣🤣Wadau uzi umepoa!!
Auuu niwashtue na screenshot status ya rangi ya zambarau??
[
na mm naanza kuhisi hivyo data base haipo transparency kama majina ya oral hadi mtu anapangiwa placementNa hyo data base nayo ni utata,tutajuaje kama kweli wote ni from data base.
Hapo ndo wenye connection zao wanapopenyezwa sasa.
duuuh au bado wanatafta hela za kuja kuwalipa may be?Hivi Tra mara hii imekuaje !? , yan barua tumefata halaf haosemi lini inatakiwa tureport , just wamesema watatupigia simu .
Hii imekaaje wakuu ??
Mnatusubiri Sisi tuliokosa nafasi lkn tulifaulu (Kutoka database) na hii nilakuja na PDF la mazoezi cha Muhimu ni kuomba tuwepo tu kwny ilo Dude kubwa (PDF)Hivi Tra mara hii imekuaje !? , yan barua tumefata halaf haosemi lini inatakiwa tureport , just wamesema watatupigia simu .
Hii imekaaje wakuu ??