Rukundo JB
Senior Member
- Jan 30, 2019
- 156
- 387
Wewe achaa hizoo database inatupa matumaini ambao tumekosa placement tuliyoitaka,na mm naanza kuhisi hivyo data base haipo transparency kama majina ya oral hadi mtu anapangiwa placement
kama vipi data base waiondoe ili mtu akikoswa placement ajue anaanza upya kujipanga
🤣🤣🤣🤣 pamoja mkuu nmekusomaWewe achaa hizoo database inatupa matumaini ambao tumekosa placement tuliyoitaka,
Sasa tunakuwa na matumaini yaan mpk mwaka uishe linaweza kutokea chaka utumishi wakanibless,
Alafu kuna zile nasikia zinatokea mara wanakupigia, au wanakutext kmy kmy hata bila PDF uende kuchukua barua, hh tamu unaingia kwenye system kmy kmy hata wadau hawajui
Exactly inawezekana walishaomba hela za training hazina ila bado hawajapewa na wao hawataki kuwakopa. Unajua wakati mwingine tutawalau utumishi kuchelewa placement ila wao wakati mwingine wanategemea muajiri husika utayari wake wa kupokeaduuuh au bado wanatafta hela za kuja kuwalipa may be?
Mm naona Bora placement ziwe zinatoka mapema hata Kama utakaa miez 6 ndo uanze kazi hapo pressure hakuna tenaExactly inawezekana walishaomba hela za training hazina ila bado hawajapewa na wao hawataki kuwakopa. Unajua wakati mwingine tutawalau utumishi kuchelewa placement ila wao wakati mwingine wanategemea muajiri husika utayari wake wa kupokea
Inamaana Mungu yupo kwa mwamposa tu?
Wengine wanaenda kwa zumaridi na wanatoboaInamaana Mungu yupo kwa mwamposa tu?
- Takukuru huingii bila connection.
Labda ule wa kula tunda kimasiharaUkiachana na huu Uzi Kuna mwingine uliyeenda Zaid kweny hii jf??
Hao jamaa hawakuwa wamejitayarisha kutoa majina! Walitoa majina kwa msumo wa Mama inaonekana kuna taratibu zilikuwa hazijakamilishwa..Hivi Tra mara hii imekuaje !? , yan barua tumefata halaf haosemi lini inatakiwa tureport , just wamesema watatupigia simu .
Hii imekaaje wakuu ??
Huu uzi bado sana, nenda kaangalie jukwaa letu la Wazee wa kubet na jukwaa la kula kimasihara..Labda ule wa kula tunda kimasihara
Kama unatumia simu inahitaji kuitumia kitaalamu sana, ila kwa Laptop haina shida sanaHaifunguki
Kwako wewe pressure itashuka ila kwa serikali itapanda kwasababu itakuwa ni aibu magazeti yaandika vijana wa TRA wako mtaani miezi 6 serikali haina budget ya mishahara. Hata wawekezaji wanaweza kukimbia.Mm naona Bora placement ziwe zinatoka mapema hata Kama utakaa miez 6 ndo uanze kazi hapo pressure hakuna tena
kwa simu unazipata vizuri. choose placement, then specific months and year. then applyHaifunguki
Nmefanikiwa ila mwanzo ilkuwa imegoma goma fulan hivikwa simu unazipata vizuri. choose placement, then specific months and year. then apply
Serikali haiwezi shindwa kuwalipa watu 500 hao wakati huwa inaajiri watu 6,000 tena wenye ration na drinks allowancesKwako wewe pressure itashuka ila kwa serikali itapanda kwasababu itakuwa ni aibu magazeti yaandika vijana wa TRA wako mtaani miezi 6 serikali haina budget ya mishahara. Hata wawekezaji wanaweza kukimbia.