Pwenti sana hii. Vijana watulie, walipiga kelele kuhusu placement, imeshatoka, watulie wasubiri maelekezo ya mwajiri sasa.Kwako wewe pressure itashuka ila kwa serikali itapanda kwasababu itakuwa ni aibu magazeti yaandika vijana wa TRA wako mtaani miezi 6 serikali haina budget ya mishahara. Hata wawekezaji wanaweza kukimbia.
Ndio, subirini simu wapo wanapika mambo mazuri.Hivi Tra mara hii imekuaje !? , yan barua tumefata halaf haosemi lini inatakiwa tureport , just wamesema watatupigia simu .
Hii imekaaje wakuu ??
Kwenye hili Jukwaa la Ajira na Tenda unaweza kuwa ni uzi mrefu kuliko zoteUkiachana na huu Uzi Kuna mwingine uliyeenda Zaid kweny hii jf??
Ivi waziri alisema linatoka ndani ya mwezi huu ??Placement la database PDF lipo njiani imebaki siku 2 tu mwezi upite. Dah waziri wetu mpendwa tuchekeshe vijana wako
Alisema mwezi huu february tutachukua vijana 1769 kutoka kanzidata na kuwapangia majukumu mbali mbali...Ivi waziri alisema linatoka ndani ya mwezi huu ??
May be wanasubiri wanafunzi wamalize mitihani ili chuo cha kodi kiweze kutumika kwa trainingNdio, subirini simu wapo wanapika mambo mazuri.
Kumbukemi lazima pawepo na Training, sasa hawawezi kuwaita kama bado hawajakamilisha mipango ya tarining kufanyanyika.
Ukiachana na huu Uzi Kuna mwingine uliyeenda Zaid kweny hii jf??
zipo nyuzi nyingi tu ambazo zina uzidi huu, kula tunda kimasikhara, njoo tuweke mkeka, utajiri wa rafiki ulivofanya nikamwamini shetani nkHuu unaongoza
Hiyo tunda ndio naisikia kwakozipo nyuzi nyingi tu ambazo zina uzidi huu, kula tunda kimasikhara, njoo tuweke mkeka, utajiri wa rafiki ulivofanya nikamwamini shetani nk
Tatizo tunaulizana wenyewe na tunapeana majibu wenyewe tra ndio wanamajibu sahihi kwann wamewasubirishaMay be wanasubiri wanafunzi wamalize mitihani ili chuo cha kodi kiweze kutumika kwa training
Hvv kwenye hao vijana 1769 na wale tuliokosa hizi placement za juzi kati kama TRA, NIRC , TARI , ASA tunaweza kutokeaa kweliii??Alisema mwezi huu february tutachukua vijana 1769 kutoka kanzidata na kuwapangia majukumu mbali mbali...
Uzi wa kula tunda kimasiahara hujaupitiaga?? Kule watu wanafunguka walivyopiga mbunye kimchezo mchezo...hali ni teteHiyo tunda ndio naisikia kwako
Uzi wa kula tunda kimasiahara hujaupitiaga?? Kule watu wanafunguka walivyopiga mbunye kimchezo mchezo...hali ni teteHiyo tunda ndio naisikia kwako
Inawezekana mkatokea Kwani alisema hiyo database itahusu wa mwaka Jana au ni woteHvv kwenye hao vijana 1769 na wale tuliokosa hizi placement za juzi kati kama TRA, NIRC , TARI , ASA tunaweza kutokeaa kweliii??
Au ndo database yetu mpk mwakani hukoo??
neno kukosa lisikie tu kwa mtuu?Hvv kwenye hao vijana 1769 na wale tuliokosa hizi placement za juzi kati kama TRA, NIRC , TARI , ASA tunaweza kutokeaa kweliii??
Au ndo database yetu mpk mwakani hukoo??
Yeah inawezekana kabsa Kuna madogo walipigaga interview ya mshahara wa TGS wakaja kulamba asali TRA kupitia databaseNaomba kuuliza kama uliwahi kufanya oral interview ya taasisi yenye asali nyingi let say TCRA hukubahatika miongoni mwa walamba asali ila umewekwa kwenye kanzi data, vipi unaweza ukapangiwa halmashauri huko ikiwa nafasi zitapatikana? Na kinyume chake hivyo ukiwa umefanya oral interview za halmashauri unaweza kupangiwa ajira katika taasisi yenye asali nyingi.
Hii ikoje wana JF.
Yeah unapangwa popote haijalishi taasis gani. Kikubwa mzee cheque no usihangaike mara sijui nataka taasis gani. Tafuta starting point mtaan Hali ni ngumu kupata Tu serikalin ni bahat na kazi ngumu hatarNaomba kuuliza kama uliwahi kufanya oral interview ya taasisi yenye asali nyingi let say TCRA hukubahatika miongoni mwa walamba asali ila umewekwa kwenye kanzi data, vipi unaweza ukapangiwa halmashauri huko ikiwa nafasi zitapatikana? Na kinyume chake hivyo ukiwa umefanya oral interview za halmashauri unaweza kupangiwa ajira katika taasisi yenye asali nyingi.
Hii ikoje wana JF.
Kila mtu amuombe MUNGU wake kwamba ikitokea awepo kwan hatuji oral tulifaulu au laaa wengne tumefanya interview moja ya utumishi tena mwaka huu ya tra hatujia km tupo database au hata hizi taarifa kwamba walioitwa bado wameambiwa wasubiri kupigiwa simu yana fikirisha kwamba kama hawa walioitwa kwa pressure na maelekezo ya mkuu wa nchi taarifa ni nyingi kwann wamesubirishwa kama kweli fungu halikuwepo napata wasisi kuwa wanaweza kuongeza,Hvv kwenye hao vijana 1769 na wale tuliokosa hizi placement za juzi kati kama TRA, NIRC , TARI , ASA tunaweza kutokeaa kweliii??
Au ndo database yetu mpk mwakani hukoo??