HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Kwanin 3 kwani ww uliambiwa mwezi 3, inaweza ikawa ivo lakini, sana sana ndo baba jeni bye bye.
Hapana mataini yangu dtabase itatoka japo kuchelewa siamini kwmba waziri kasema uongo
 
Wao hawaangalii salary scale kikubwa upate kazi
 
Alis
Ikifika jnne bado tena asee itakua siasa maana walisema ni mwezi wa 2
Alisema wataanza kuchukua haijamaa nisha watatoa mkeka as soon within this month...kwa nilivyoelewa wataanza kuchukua lkn kurelease majina sio lazima mwezi huu wa pili
 
Sikiliza clip ya waziri mkuu mim naongea tu kwa uelewa wang huenda nikawa wrong pia
“Mwezi wa pili mwaka huu tunatarajia kuchukua watu 1,769 kutoka kwenye database [kanzidata] na kuondoa ile ya kuwarudisha rudisha kuja kufanya interview [usaili] wakati wameshafaulu [..] Kazi yetu itakuwa kuwachukua na kuwapangia majukumu mbalimbali.” – Waziri Jenista Mhagama
 
Tuzidi kumuomba MUNGU man
 
Sijawahi kuona TRA wamechukua watu wa data base. Nakumbuka 2019 baada ya kuajiri waliita tena watu wengine kazinj ambapo waliita majina ya nyongeza
Database na majina ya nyongeza ni kumaanisha kitu kimoja ikiwa tu wote walishiriki katika sahili na hawakupata nafasi in first place.

Ni sawa na kusema tu jamaa hakupata alama za kutosha badala ya kusema amefeli kwa kutokufikia "minimum marks required"
 
Ha Haya twenze mkuu tuanze kudadavua hii statement...je hapo inamaanisha kwamba lazima watu wate 1769 wapangiwe majukumu within february?
 
Kuna utofauti gani kati ya majina ya nyongeza na database?
Yale nyongeza nasikia wengne walioitwa kwa mara ya kwanza walikutwa na sifa kwa mfano uliomba kazi diploma na ni degree holders wakakuta unachet cha degree wanakuacha coz mbeleni utawasilisha cha degree sio upandishwe scale
 
Alisema mwezi huu february tutachukua vijana 1769 kutoka kanzidata na kuwapangia majukumu mbali mbali...
  • na majina yashajaa🤣🤣 yamejazwa na mawakili wale 300+, na watu wa Taasisi nyingine
  • ngoja niendelee kupiga Kazi kiwanda Cha Chuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…